Kwa hali iliyopo mbeya inatisha, hizi imani za kishirikina kuendelea kuumiza watu wasionahatia, ni kielelezo kuwa pamoja na madhehebu kuwa mengi kwa mbeya mjini, ukilinganisha na mahala pengine popote kwa tanzania, wachungaji wameshindwa kazi au la wachungaji wetu ?????? kiulizo kikubwa???