Hivi shule ya umoja bado ipo? Daa long time sana.
ENzi hizo disco la Mount, na DJ Ayeya, basi akija Sugu katoka zake USA ana rap pale Mount Livingston tunachanganyikiwa balaa. Nimemiss sana
Kama ukitaka kufananisha na Ulaya, kweli ni bado sana. Si unaona neighbourhood za Ulaya zilivyo
Lakini kuna mitaa ya kishua inajengeka kwa kasi sasahivi, in next 10 years itakuwa bora kuliko baadhi ya suburbs za Ulaya
Hii ni moja ya neighbourhoods za Ulaya. Huku inawasaidia kwamba sio kila mtu anajenga nyumba yake, unaweza kuta nyumba zimejengwa na serikali au kampuni kisha zikapangishwa. Inakuwa rahisi kupangilia neighbourhood ikapendeza kama hii