Pia Iwambi kuna mtaa mpya unaitwa Maziwa. Huku ni ramani zetu Wabongo wenyewe na kumepangiliwa vizuri pia, papo kimya na panajengeka kwa kasi. Nyumba za watu wa Maziwa ni nzuri sana. Siku ikitokea nikiwa free tena nitaenda kupapiga picha.ramani za Mkoloni hizo, Za kwetu ni zile za mabatini na Kabwe
😂😂😂 Yani mapolisi wanakupa kesi bila sababu yoyote au? Kama wanafanya hivyo basi inapaswa wajirekebishe kwa kweliMbeya ni kuzuri tatizo polisi waleviwalevi wa hapo hawachelewi kukupa kesi na wanakufunga kweli mambuzi zao. Ndio sababu watu tuliotoka Dar hatuwezi kukita mapande kama hayo kwa muda mrefu
😂😂😂 Yani mapolisi wanakupa kesi bila sababu yoyote au? Kama wanafanya hivyo basi inapaswa wajirekebishe kwa kweli
Mambo ni safi sana huko, chips za buku jero unapata ndoo nzima.Na kweli msosi ni nafuu
Tsh 500 unapata nyanya 13
Unga wa ugali kilo 10 ni 7000/=
Utahamia huko na Mwajuma ndala ndefu?Uzuri wa mbeya ni unafuu wa msosi tu, hilo ni jambo jema kwetu sisi wazee wa wali maharage, nitahamia siku moja huko mambo yakiwa poa.