ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba

na kocha akitaka kumtoa alijua anagoma anadai timu yangu halafu unitoe anamgomea kocha, walikua wakiingia uwanjani na 109 dereva yeye nakumbuka enzi hizo ligi daraja la tatu mkoa kifwamba inaingia na 109 mecco wanaingia na roli la kirusi
Soko-Matola kuna kanisa kubwa sana la Moravian kulikuwa na mchungaji anaitwa Mwamlima. Jamaa alikuwa mtemi kichizi alikuja kuondolewa na Mrema chini ya kikosi Maalum cha FFU
Namba 18.Nlikuwa nawafahamu hawa jamaa wote.Shaban kasoma primary Sinde...Dunda kwao ilikuwa Isanga na kwendi alikuwa Kwa mnyonge near hotel ya mfikemo....Nlinusurika at one point na kwendi(marehemu)
Kuna familia ya Mapugilo walikuwa wakorofi sana. Braza wao alikuwa anaitwa Ngwisa na wengine ni Uswe, Ibu, Mfike, Roby na wengine. Mfike siku hizi anajiita Fike Wilson anacheza bongo movie
Kuna familia ya Mapugilo walikuwa wakorofi sana. Braza wao alikuwa anaitwa Ngwisa na wengine ni Uswe, Ibu, Mfike, Roby na wengine. Mfike siku hizi anajiita Fike Wilson anacheza bongo movie