Mbeya jiji na kero ya bajaji barabara kuu

Mbeya jiji na kero ya bajaji barabara kuu

Mmmmm yule msifia speaker ukuje huku utetee hii hoja, maana mara spika kafanya hivi mara zile kumbe ni zero, hii T1 Inayopita mbeya ni mbovu, nyembamba mno na kusikitisha eti mabus yote asubuhi yanakua escorted!matumizi mabaya ya traffic officer's
 
Back
Top Bottom