shadownet
Senior Member
- Aug 4, 2015
- 133
- 678
Kwanza kabisa niwape heshima yao wanawake wa mbeya katika kujituma kufanya kazi na kujiheshimu.
Mimi nmezaliwa Mbeya na nmekulia miaka mingi hapa mbeya hadi sasa, Nilibahatika kuishi Arusha pindi nlipoenda kuitafuta degree yangu ya uhasibu chuo cha uhasibu (I.A.A), kiukweli nikiwa Arusha nli enjoy sana maisha ya mapenzi kiujumla kwa dad zangu wa Arusha, baada ya kumaliza degree nikarejea nyumbani Mbeya
Maneno kuntu kutoka kwa wahenga wetu walisema ndege wafananao huruka pamoja ila kwangu nmeshindwa kabisa kupata ndege anaefanana na mie turuke pamoja, Imekua ngumu sana kwangu kupata Binti hapa Mbeya niwe naye in deep love, Mabinti wengi hapa Mbeya nmekuwa nao katika mapenzi kwa lengo la kupoza tamaa za mwili ila linapokuja swala la kuwa feel in love nmeahindwa kupata ndege anaeendana na mie turuke wote
Kwanza kabisa mi ni mkurya wa Tarime na kama mnavyotujua wengi wetu tumebarikiwa urefu tucheza kwenye mita 1.8 hadi 2 na ushehe, sasa kwa hawa Dada zangu wa hapa mbeya nmekuwa "napata tabu sana" kupata ambae walau ananifikia kwenye kidevu...Yani nmefanya msako hadi basi kwa wenyeji wa hapa, nmeambulia kuwapata wanachuo tu wanaosepa wakimaliza masomo yao
Ubabe - umewatawala wana wake wengi sana hasa wa kinyakyusa hapa Mbeya, yani hata sijajua chanzo, yani kila kitu kikiwa na mabishano au upande moja ushinde basi ni wa chache sana huwa wanakubali kuheshimu maamuzi ya Mme au boyfriend wake, yani wanapenda ngoma iwe draw umtwange kofi mnyaki ni nadra sana asikurudishie ama kuanza visasi
Undugu unaoingilia issue za mahusiano - yani hapa ntarudi tena kwa wanyaki, kama mnavyojua hili kabila ni kitu cha kawaida sana kusindikizwa na kijiji kizima stendi siku ukiondoka
ni vizuri ila huu undugu unapozidi kama una roho nyepesi waweza kufa kwa presha, Mmeingia kwenye mahusiano mtu anatumia mda kibao maswala ya ndugu kuliko wewe, umetoka job umerudi kabla hujaingia unakuta viatu kumi ni kawaida hiyo yupo na ndugu zake, mmezinguana kidogo tu mwenzako ndani ya dakika kashaweka makazi kwa ndugu yake wa mtaa wa pili, Hela mnadunduliza umerudi home umekuta mwenzako kailipia kumtoa ndugu yake polisi ni kawaida!
Kujamiana - Wengi huita hii tabia umalaya, Nmepoteza hamu kabisa na baadhi ya wanawake wa hapa kwa kujirahisisha na kutoa ishara za kuutaka mchezo kiholela, Thamani ya mwanamke huja kutokana na tabia zake, Mbaya zaidi undugu nliozungumzia hapo awali huenda mbali zaidi kiasi kwamba ndugu kwa ndugu huanza kujamiana, Yaweza kuwa sehem nzuri kwa wazinzi kutumia udhaifu wa hawa mabinti kuupenda mfikicho ila kwangu sijapenda hata kidogo,
Mimi nmezaliwa Mbeya na nmekulia miaka mingi hapa mbeya hadi sasa, Nilibahatika kuishi Arusha pindi nlipoenda kuitafuta degree yangu ya uhasibu chuo cha uhasibu (I.A.A), kiukweli nikiwa Arusha nli enjoy sana maisha ya mapenzi kiujumla kwa dad zangu wa Arusha, baada ya kumaliza degree nikarejea nyumbani Mbeya
Maneno kuntu kutoka kwa wahenga wetu walisema ndege wafananao huruka pamoja ila kwangu nmeshindwa kabisa kupata ndege anaefanana na mie turuke pamoja, Imekua ngumu sana kwangu kupata Binti hapa Mbeya niwe naye in deep love, Mabinti wengi hapa Mbeya nmekuwa nao katika mapenzi kwa lengo la kupoza tamaa za mwili ila linapokuja swala la kuwa feel in love nmeahindwa kupata ndege anaeendana na mie turuke wote
Kwanza kabisa mi ni mkurya wa Tarime na kama mnavyotujua wengi wetu tumebarikiwa urefu tucheza kwenye mita 1.8 hadi 2 na ushehe, sasa kwa hawa Dada zangu wa hapa mbeya nmekuwa "napata tabu sana" kupata ambae walau ananifikia kwenye kidevu...Yani nmefanya msako hadi basi kwa wenyeji wa hapa, nmeambulia kuwapata wanachuo tu wanaosepa wakimaliza masomo yao
Ubabe - umewatawala wana wake wengi sana hasa wa kinyakyusa hapa Mbeya, yani hata sijajua chanzo, yani kila kitu kikiwa na mabishano au upande moja ushinde basi ni wa chache sana huwa wanakubali kuheshimu maamuzi ya Mme au boyfriend wake, yani wanapenda ngoma iwe draw umtwange kofi mnyaki ni nadra sana asikurudishie ama kuanza visasi
Undugu unaoingilia issue za mahusiano - yani hapa ntarudi tena kwa wanyaki, kama mnavyojua hili kabila ni kitu cha kawaida sana kusindikizwa na kijiji kizima stendi siku ukiondoka
ni vizuri ila huu undugu unapozidi kama una roho nyepesi waweza kufa kwa presha, Mmeingia kwenye mahusiano mtu anatumia mda kibao maswala ya ndugu kuliko wewe, umetoka job umerudi kabla hujaingia unakuta viatu kumi ni kawaida hiyo yupo na ndugu zake, mmezinguana kidogo tu mwenzako ndani ya dakika kashaweka makazi kwa ndugu yake wa mtaa wa pili, Hela mnadunduliza umerudi home umekuta mwenzako kailipia kumtoa ndugu yake polisi ni kawaida!Kujamiana - Wengi huita hii tabia umalaya, Nmepoteza hamu kabisa na baadhi ya wanawake wa hapa kwa kujirahisisha na kutoa ishara za kuutaka mchezo kiholela, Thamani ya mwanamke huja kutokana na tabia zake, Mbaya zaidi undugu nliozungumzia hapo awali huenda mbali zaidi kiasi kwamba ndugu kwa ndugu huanza kujamiana, Yaweza kuwa sehem nzuri kwa wazinzi kutumia udhaifu wa hawa mabinti kuupenda mfikicho ila kwangu sijapenda hata kidogo,