Jamani kwa mliopo nje ya mbeya hali ni ya garari hii ni zaidi ya simba na yanga hofu yangu ni usalama wa leo , wanausalama wawe makini watu nnje ni wengi na uwanja ushajaaa ,, mungu wangu
timu zote zimeshamaliza warm zimeingia ndani kubadilsha tayari kurejea kwa matanange,kama kutakuwa na delay ya updates mtanisamehe maana mtandao kidogo unazingua.
Uwanja umepata watu wa kurosha na bado watu wanazidi kuingia,jukwaa la Tz Prison liko wazi kabisa ila jukwaa/upande wa Mbeya city wamejaa kwelikweli,hamasa ni kubwa na wanashangila sana.
Jamani kwa mliopo nje ya mbeya hali ni ya garari hii ni zaidi ya simba na yanga hofu yangu ni usalama wa leo , wanausalama wawe makini watu nnje ni wengi na uwanja ushajaaa ,, mungu wangu