mbeya city

Mkuu hapo mnapopaita Majengo ni Kata gani na kuna Diwani na Mbunge?
Wananchi washirikishwe hata kukarabati nyumba na kupalilia barabara wakichanganya Siasa na Serikali Mji utaharibika.
 
Samahani sijawahi kufika mbeya, kwani hapo kwenye picha ndo kijiji gani huko mbeya?

Masihara, hii ni mbeya mjini maeneo ya majengo. Unavyosema kijiji gani unawaangusha wana mbeya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…