ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Hata nikikaa naitazama Mbeya city Mhh nooma hii timu inanitushia moyo na presha Yaani Leo kashinda dhidi ya prisons!!?? Haya Karibu vpl...
Mi mwenyewe nilikuwa yanga ila sasa nimehamia mbeya city. Eti kibonde simba ya nne
mwenyewe mzee wa matukio, niko mbeya city kwa sasa baada ya yanga kuniboa
ikianza kupotea ubaki uko uko, glory hunter