D DIBEGU Member Joined Apr 9, 2014 Posts 16 Reaction score 3 May 20, 2015 #1 Ndugu zangu wana jamii nimepata safari ya kikazi mbeya lakni nataka kusafiri na familia yangu,ni wapi nitapata apartment ambayo naweza kukaa kwa Amani hapo mjini kwa bei nafuu.
Ndugu zangu wana jamii nimepata safari ya kikazi mbeya lakni nataka kusafiri na familia yangu,ni wapi nitapata apartment ambayo naweza kukaa kwa Amani hapo mjini kwa bei nafuu.
Mwanyoro JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 636 Reaction score 460 May 21, 2015 #2 Duh Apartment kwani unakaa muda mrefu sana kama si muda mrefu sana nenda Hill view Hotel ipo Uzunguni.
Duh Apartment kwani unakaa muda mrefu sana kama si muda mrefu sana nenda Hill view Hotel ipo Uzunguni.
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 May 21, 2015 #3 Mwanyoro said: Duh Apartment kwani unakaa muda mrefu sana kama si muda mrefu sana nenda Hill view Hotel ipo Uzunguni. Click to expand... Si suala la kukaa muda gani bali kukaa na familia. Apartment ndio ingefaa zaidi.
Mwanyoro said: Duh Apartment kwani unakaa muda mrefu sana kama si muda mrefu sana nenda Hill view Hotel ipo Uzunguni. Click to expand... Si suala la kukaa muda gani bali kukaa na familia. Apartment ndio ingefaa zaidi.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 May 21, 2015 #4 Hotel inayoitwa Beaco itakufaa.
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,711 Reaction score 4,228 May 21, 2015 #5 mtu anataka nyumba ya kupanga nyie mnamuambia mambo ya hoteli