kabunguru
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 425
- 502
Wadau natafuta mbegu za Miti ya mbao,husussani Pines na Milingoti ya Nguzo za mbao,kwa ajili ya Mufindi.Mwenye taarifa ya Upatikanaji na bei aniPM kwa 0752-010710.P is Kama kuna Taasisi au Kikundi ambacho kinaweza kuwa Contracted Kutayarisha Vitalu kwa ajili ya Miti ya Mbao,Kutayarisha Shamba,Kuchimba Mashimo na kutumia miti hiyo,kilichopo Mufindi tuwasiliane kwa Namba hapo juu.