ninazo debe waje akina lopez niwauzie ila nanapachika mwenyewe.
Hahahaha wasubiri waje
ninazo debe waje akina lopez niwauzie ila nanapachika mwenyewe.
I think tofauti ni kuwa this's considered legal, (by human standards)?!
But I wonder, mtoto akikuwa na kutaka kujua baba yake ni nani kama atakuwa ana haki ya
Kuambiwa!
FaizaFoxy yupo sahihi Mkuu MziziMkavu.
Wazazi wakiwa wasomi, mtoto huwa na akili vile vile.
Mzazi akiwa na kipaji, mtoto vile vile anapata kipaji.
Kipaji siyo automatic, lakini good DNA inakusaidia sana.
Ndiyo maana watu wengi wanaotaka kununua mbegu, wanachagua za maprofesa au watu wenye kipaji.
Mtoto wa kwanza wa Beckham, Brooklyn, ameshaanza kucheza mpira Arsenal Youth Team na Arsenal Under 18.
Coincidence? I don't think so.
Hamna uchawi wala uwanga.
Simple genetics.
Soma zaidi chini:
Scientists at Kings College, London, have found the first gene which appears to be directly linked to intelligence
A gene which may make people more intelligent has been discovered by scientists.
Researchers have found that teenagers who had a highly functioning NPTN gene performed better in intelligence tests.
It is thought the NPTN gene indirectly affects how the brain cells communicate and may control the formation of the cerebral cortex, the outermost layer of the human brain, also known as ‘grey matter.'
source:telegraph.co.uk
Up to 40 per cent of a child's intelligence is passed down from the parents, according to a new study.
They found that between 20 and 40 per cent of the variation in childhood IQ is due to genetic factors, less than the 40 to 50 per cent suggested by previous research.
Dr Benyamin and his colleagues analysed DNA samples from 18,000 children aged six to 18 from Australia, the Netherlands, the UK and the U.S, along with their IQ scores.
source:dailymail.co.uk
Human genetics can play a major role in determining an athlete's potential. Genetic information is passed from parent to child and is stored within human cells in the form of DNA (deoxyribonucleic acid).
An individual's DNA influences attributes such as height and weight and can help to determine if an individual has a predisposition towards athleticism.
Genes play a major role in body type and athletic ability, but an athlete must also work hard to realize his/her potential.
source:sportsnscience.utah.edu
Teh! teh! teh! hii inaelezea kwanini wanawake matajiri wa Bongo wapo kwenye foleni ya kusaka mbegu za Kikenya. Kama wale wa Rombo.
Mwanamke huangalia mambo mengi sana kabla ya kufanya maamuzi nani wa kuzaa naye. Hii itatufanya Wakenya tuwe makini sana tukija kwa shughuli za kikazi Bongo maana muda si mrefu tutabakwa na wanawake on gunpoint. kui
kadoda11

MK254 eti at gunpoint!,....lol!
Mnajifananisha na wenye blue eyes sasa!, ombeni Wa Nigeria wasijue hilo watakuja na speed ya ajabu na sijui kama Kenyans mnafikia ujanja wao na shughuli yao....lol!