Mbegu za Azolla zinapatikana wapi?

Kunamtu anauza kigamboni lakini leo kafiwa na Baba yake mzazi nitakupatia number yake ndugu
 
Mbegu za azola ni mbegu Gani wazee
Azolla ambao ni mmea aina ya magugu maji, umeanza kupata umaarufu duniani kutokana na uzalishaji wake wa kasi, ukitumia eneo dogo, halikadhali kwa kuwa ni lishe bora kwa mifugo kama vile ng’ombe na kuku.

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO linasema Azolla ina kiwango kikubwa cha protini ghafi kuanzia asilimia 19 hadi 30, ikilinganishwa na mazao mengi ya kijani kibichi pamoja na yale yameayo kwenye maji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom