Kwa mahali ulipo unaweza kwenda Mati Ukiliguru, kipo mwanza, au ukasafiri hadi kahama ukanunua kwa wakulima, lakini pia unaweza kwenda hadi Igunga, hapo kuna Scheme Kubwa ya Umwagiliaji inaitwa Mwamapuli (Mwanzugi) Irrigation Scheme. Hapo wanalima 98% SARI 5,hapo utapata, lakini pia wasiliana na Wakala wa Mbegu Tanzania ( Agriculture Seed Agency) ASA, wana mawakala Mwanza,0713241696 hiyo namba ya ASA.