Nna mimba yako mkuuWakuu nipo kwenye game LA kutafuta mtoto mwaka wa huku 2,cha ajabu,xna nukikumbuka mbegu znazopotea kichwa chaniuma,mwanzo nilikuwa na x alipata mimba yangu ,mi sikujua nikasafiri mwaka mmoja,kurudi nikakuta ameolewa ,alipopata habari nmerudi akanitafuta,kwa uchungu mwingi akaniambia ,nmekaa na siri ya dhambi moyoni inaniuma,nikamuuliza nn ,akaniambia ametoa mimba ya miez 3,kunusuru ndoa take mpya ,akasema nisamehe ,Leo nahisi kutua mzigo maana nmekuona niliye kukosea ,(alisema hayo huku machozi yakimwagika )Leo SNA mtoto nimekuwa nkimtamani kila mwanamke mjamzito namkumbuka x wa mwanzo,kuchepuka naogopa nahisi kila nmuonaye AME effect, msaada wakuu
Hata mm hapa ndo nimekuelewa,pole sana mkuu,nenden wote wawili mkapime mjue ttz ni nn,kama ni kula vyakula vya kurutubisha mbegu ufanye,pia omba mungu SanaaMbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
Usinitanie nisije kukupa mshahara wangu wa mwaka mzimaNna mimba yako mkuu
Nmewahi kujaribu mkuu akatoa inaniumaMkuu Mimi ni msela sio dada, avatar isikuchanganye
Wewe na mwenza wako mngeenda kupima afya zenu za uzazi tatizo lijulikane lipo wapi?
Je ulisjawahi kujaribu kwa mtu mwingine pia akashindwa kushika mimba?
Mkuu mzunguko ni shida tu,haueleweki kila mwezi ni mabadiloko anaweza enda 21mwezi ujao 1,nilisha hesabu hzo siku mkuu nikachoka sasa akili imechokaKuwa na subira ila jaribu kuangalia Mwenza wako mzunguko ukoje, je 28, 30,32,35 maana kila mzunguko una siku zake
Basi tatizo linaweza kuwa kwa huyo mwenzi wako japokuwa sio 100%Nmewahi kujaribu mkuu akatoa inaniuma
Ulishawai enda hospital?????Mkuu mzunguko ni shida tu,haueleweki kila mwezi ni mabadiloko anaweza enda 21mwezi ujao 1,nilisha hesabu hzo siku mkuu nikachoka sasa akili imechoka
Mkuu hahahah ungebadili avatar auMkuu Mimi ni msela sio dada, avatar isikuchanganye
Wewe na mwenza wako mngeenda kupima afya zenu za uzazi tatizo lijulikane lipo wapi?
Je ulisjawahi kujaribu kwa mtu mwingine pia akashindwa kushika mimba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinitanie nisije kukupa mshahara wangu wa mwaka mzima
Sio utani mkuuu[emoji126]Usinitanie nisije kukupa mshahara wangu wa mwaka mzima
kipindi cha nyuma kabla ujaoa ulikuwa unapiga punyeto...???Wakuu nipo kwenye game LA kutafuta mtoto mwaka wa huku 2,cha ajabu,xna nukikumbuka mbegu znazopotea kichwa chaniuma,mwanzo nilikuwa na x alipata mimba yangu ,mi sikujua nikasafiri mwaka mmoja,kurudi nikakuta ameolewa ,alipopata habari nmerudi akanitafuta,kwa uchungu mwingi akaniambia ,nmekaa na siri ya dhambi moyoni inaniuma,nikamuuliza nn ,akaniambia ametoa mimba ya miez 3,kunusuru ndoa take mpya ,akasema nisamehe ,Leo nahisi kutua mzigo maana nmekuona niliye kukosea ,(alisema hayo huku machozi yakimwagika )Leo SNA mtoto nimekuwa nkimtamani kila mwanamke mjamzito namkumbuka x wa mwanzo,kuchepuka naogopa nahisi kila nmuonaye AME effect, msaada wakuu
Walikuambia unatatizo lolote?Ndyo Mara tatu