moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Mbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwellMkuu jaribu kuandika huu uzi vizuri alafu uniite. Napata tabu sana kuelewa ulichoandika
Mkuu Mimi ni msela sio dada, avatar isikuchanganyeMbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
Mbegu zinakuuma kwa7bu gani mkuu!hizo Mungu kaziweka automatically zikutoke kila utakapofanya tendo la kusisimua maungo yako ya chini alimradi uwe unakula vizuri pia kumbuka sio kila tendo la ndoa/ngono husababisha mimba...mie sio doctor ila nilisikia mahali kwamba kama wana ndoa wanatafuta mtoto na hawapati basi wabadilishe timetable yao ya ufanyaji tendo kwa kitambo kidogo,kama mwezi hivi msifanye ili wewe kuwa na mbegu strong zitakazoleta matokeo tarajiwa huku wewe baba ukila vyakula vyenye virutubisho mazoezi kidogo huku bibie nae akiziangalia kwa umakini zile siku zake barikiwa akiona hizi hapa mnaingia mchezoni.pia msali kwa imani yenu ktk hili hitaji lenu mengine Mungu ataweka mkono wake kwani kuzaa au kutokuzaa ni juu yake.pia kama walivyoshauri wadau huko juu jaribuni kwenda ku-check afya zenu mtaweza shauriwa zaidi njia za kufanya.nakutakia mafanikio ktk mahangaiko yako ktk jambo hili.Mbegu ninazotoa zinaniuma kazi inayofanyika ni kubwa but haina faida sipati mtoto OK,dada T-bagwell
Tatizo ndoa zetu za ki-Africa mkikaa miezi 7 wife hajaanza kutema mate na kuanza kutamani visivyotamanika tayari ndugu wanaanza visirani,kuanzia mama mpaka dada maneno yanaanza at least baba hatonyanyua mdomo mapema kuzungumza.hii ndiyo inayowapa wana ndoa pressure kuhangaikia uzazi bila kujua Mungu ana mipango yake.Kimsingi jaribu kuwa mpole na umtegemee Mungu . Kwa yaliyo kupata kwa x wako ndio yaliyo nikuta kwa x wangu. Nimeoa tangu 2014 lkn Mwenyezi Mungu ndio kanijalia sasaiv mke wangu ana ujauzito. Kwahiyo usikate tamaa. Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye subira
Hilo nalo ni tatizo kubwa. Ni swahihi kabisa hasa hawa wa jinsia ya kike ni tatizo kwenye ndoa endapo utawapa nafasi ya kuingilia mambo ya kifamilia yako.Tatizo ndoa zetu za ki-Africa mkikaa miezi 7 wife hajaanza kutema mate na kuanza kutamani visivyotamanika tayari ndugu wanaanza visirani,kuanzia mama mpaka dada maneno yanaanza at least baba hatonyanyua mdomo mapema kuzungumza.hii ndiyo inayowapa wana ndoa pressure kuhangaikia uzazi bila kujua Mungu ana mipango yake.