Sinywi pombe na kamwe sitainywa, ila kwa pombe za kienyeji, inayostahili kuitwa kinywaji cha tsifa basi ni Gongo, hii pombe kila mkoa ipo.
Ila mbege ukiipeleka maeneo mengine hawaijui, Gongo inafahamika hakuna kijij utaikosa hakuna mji utaikosa hiii Ndiyo gongo mflume wa Pombe za kienyeji.
Ila kunywa Gongo kupita kiasi, inaweza kudhoofisha Afya yako hata kukua. Kula kwanza Vizuri kabla hujanywa.