Hahaha kwi kwi kwi tse tse tse pwah pwah pwah ...naombeni kitambaa nifute machozi maana pia imebdi nicheke kwa vibration hahahaha niko meeting hahahah
Hahaha kwi kwi kwi tse tse tse pwah pwah pwah ...naombeni kitambaa nifute machozi maana pia imebdi nicheke kwa vibration hahahaha niko meeting hahahah
copy and paste a.k.a ..............
Baba alimuuliza mwanae nikikupiga huwa hasira zako unamalizia wapi? Namalizia chooni. Huko chooni unamalizia vipi? Huwa nasafisha tundu la choo kwa kutumia mswaki wako unaotumia kila siku! Baba kazimia mpaka leo!....