Mbatia: Rais Magufuli si msafi

Mkuu tatizo ushabiki!!! Awa jamaa baada washiriki maendeleo wanabaki na propaganda!!
 
Nina unga mkono na miguu yote hoja.... na hakuna kuwalinda wale wote waliotufikisha hapa.
Tutamkumbuka JPM na ataweka historia abadilishe katiba na kupata katiba mpya ya Wananchi toka Tume ya Warioba na kuiboresha kwa kuipa Meno Makali zaidi.
 
Nakumbuka story ya Yesu na asiye na Dhambi awe wa kwanza kumpiga uyu mama.
Mbatia naona anajaribu kukokotoa namna ya kutoka ata kwa single ambazo haziuziki.
All the best baba ingawa msipobadili namna ya kukabiliana na CCM awamu hii itakula kwenu.
Mbinu za awamu ya nne achaneni nazo come up with new tactics ndo maana ya upinzani itaonekana.
Soon Mwanahalisi nalo litapoteza mvuto maana mada zake zimekaa kutetea maslai ya chama unlike zamani
 
Sasa mbatia mbona hamsafishi mgombea wake wa uraisi,kwa hizi mistakes wanazofanya upinzani wanazidi kuiimarisha ccm,baadae wasitafute mchawi nani.
 
Lol Lugumi...haiwezeka ushindwe ....na hicho kivuko ushindwe na ulegee
 
Mkuu tatizo ushabiki!!! Awa jamaa baada washiriki maendeleo wanabaki na propaganda!!

Tatizo ni kwamba ndugu zangu hawa wanadhani wananchi ni mbumbumbu na hawajui kinacho endelea nchini.

Ukweli ni kwamba wananchi wa kawaida wanauelewa mkubwa kuliko wanavyofikiria. Hii inanikumbusha kuhusu mbunge mmoja wa upinzani hivi karibuni aliwekwa kapeti na wananchi wake wakitaka kujua kwa nini ameamua kutohudhuria vikao vya bunge kuwawakilisha kama mkataba wao na yeye.

Jamaa alijibu kuwa anafuata maelekezo ya viongozi wake na wakamwambia jee huko mjengoni ulipelekwa na viongozi wake au ni sisi ndiyo tuliokupa kazi hiyo????

Wengi waliosikia kauli hii hawakuipa kipa umbele lakini kwa maoni yangu hiyo ni ishara tosha kuelewea kuwa wananchi hawa tunaowaita wa kawaida wanauelewa mkubwa sana kuliko tunavyofikiria. zile enzi za kuwadanganya zimepita.
 
Duh hii sasa ni hatari sana yaani Terminal III bado haijaisha lakini kuna ufisadi..!?
 
Alafu unamchukua MTU kama sumaye ambaye ndo muusika mkuu wa uuzwaji wa Nyumba unampa kadi ya chadema anaingia ukawa
Daaah hawa jamaa!!!
 
Ukiangalia kwa ukweli utagundua kuwa Team Ukawa hawana mashiko tena wamekuwa ni watu wa kuvizia matukio ambayo hayana shida,Ila sio mbaya pia wakiwa wanacheza old is gold,maana aliye kubali nyumba ziuzwe ndio anatarajia kuwa director general wa pwani,Poleni ukawa
 
Muuzaji wa Nyumba za serikali wanaye huko huko UKAWA anaitwa Sumaye.

Pia Sumaye wakati anatangaza nia ya kugombea urais aliulizwa hilo swali ,inakuwa vipi Nyumba ziuzwe na yeye ni waziri mkuu???
 
Huyu nae mbona anarudia haya mambo tena? Eeeh mkosaji wa mapya...haya yalielezewa vizuri tu humu ilivuokuwa na wakuu gani walisimamia kizaidi...yeye kama waziri hakuwa nalo la kupinga. Mmmmmh
 
Iizaboni&co hawawezi kusogelea uzi hu
 
Wanajamvi sina uhakika na uelewa wa hichi kinachojiita mwanahalisi,kiundani ni kakundi amabako kamekaaa kulalamika tu na kuleta habari habazo mashiko ni zero,kama mnakuwa mnakosa habari basi wekeni hata majarida ya wanafunzi wasome,pia mtakuwa mmesaidia jamii,lakini nyie kila siku ni kuvizia mkikosa mnarudi kwe storry ambazo hazina mashiko,

Ningependa niwashauri Muishi kwa mfumo wa 5S itawasaidia sana,mda mwingine mnaboa
 
msemajiukweli nilijua umekuja na ukweli hapa.....hebu jibu alichasema mbatia ila tumsage
myoyambendi ;
Majibu niliyotoa ndio majibu halisi kulingana na propaganda za Mbatia.

Mbatia bado yuko kwenye general election campaign mode.

Tumsubiri mpaka atakapozinduka na kujikuta chama chake hakiwezi hata kufanya mkutano wa hadhara.

Kwa sasa acha aendelee kufanya kazi ya Tumaini Makene wakati yeye ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi.
 
JPM anahusika na kashfa nyingi tu, ikiwemo Meli Chakavu, kuhamisha fedha za umma kinyume na Mamlaka ya Bunge na kukandamiza Demokrasia ya Vyama vingi na Uhuru wa kupata Habari, kinyume na Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea.
Pia CAG alibaini bilion 252 kupotea wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi Hewa , huku barabara ya Ubungo magomeni kutawaliwa mapungufu kibao kutokana na kuwa nyembamba sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…