Mimi ninaunga mkono kauli ya Mheshimiwa James Mbatia kuhusu wanasiasa kuacha kuingilia masuala ya kitaalamu wakati wao si wataalamu, ukichukulia mfano wa mitambo ya Dowans,serikali ilikuwa na nia nzuri ya kuinunua kwa manufaa ya umma na wataalamu wa kimataifa wakaipitisha na kuikubali kama ni mizuri na inafaa kununuliwa,lakini wanasiasa wetu wakaleta mizozo na makelele makubwa kupinga kununuliwa kwa mitambo hiyo hadi kuifanya Serikali yetu kusita kuinunua na sasa tunaona matokeo yake,nchi nzima IPO GIZANI !!!!
HONGERA MBATIA KWA KULIONA HILO.
WASIPO DHIBITIWA,KUNA SIKU WANASIASA WETU HAWA WATAKWENDA MUHIMBILI NA KUWAELEKEZA MADAKTARI NAMNA YA KUWAFANYIA OPARESHENI WAGONJWA KWA KISINGIZIO CHA KUPAMBANA NA UFISADI!!!
SASA HIVI WAO WANAFAIDI NA MAJENERETA YAO,SISI WANYONGE TUNATESEKA GIZANI.
Kumbe ni NGO inayojishughulisha na siasa? asante kwa kunikumbusha.ukisahau, sahau hata uamuzi wako wa kukiita chama cha siasa NGO
NCCR Mageuzi hivi ni ka-NGO kinacho deal na nini ? nimesahau?
NCCR Mageuzi hivi ni ka-NGO kinacho deal na nini ? nimesahau?
Ni mwandisi na wewe ni mtukanaji
Didi he complete his Engineering degree?
Tuwaachie wataalam watupe suluhisho la umeme hili suala si la kisiasa,
No. He never did! and that is why he is saying:
[/COLOR][/SIZE][/FONT]
bu**sh**
NCCR mwaka huu sitegemei kama kitapata hata kiti kimoja cha Mwenyekiti Serikali za mitaa. Baada ya kwenda kuhamasisha chama chake anafukuzana na wanasiasa na umeme wa mafisadi.