Mbatia aweka vikao vya madiwani wa Nccr na Chadema. Chadema watoka wasema wanampa ubunge Mrema. Chadema wagoma kutoa madiwani wao katika kata zote 16 za Vunjo wasema wanagombea sambamba Na Nccr, wamlaumu Kwa kutowaachia kata ilihali wenyewe wamemwachia ubunge, mbatia akwepa kuongea Na waandishi wahabari, ashidwa kuwanadi madiwani wa Nccr kWenye mkutano.
Radio moshi fm.
My take: Mbatia sio politician. Ana uelewa mdogo. Alijua UKAWA ndo itamwokoa kumbe kamanda Mbowe once again is too clever. Mbatia loses good for mbowe. Nccr dies good for mbowe. Ndo maana wakamdaganya na jimbo ambalo kushinda ni ngumu kuliko kwa mdee.
And to make it worse ata kumwachia kata za udiwani mwenyekiti mwenza wa ukawa wamegoma despite taking lions share of places in tanzania.
Anyways... Wajinga ndo waliwao
Umeandika nini?Mbatia aweka vikao vya madiwani wa Nccr na Chadema. Chadema watoka wasema wanampa ubunge Mrema. Chadema wagoma kutoa madiwani wao katika kata zote 16 za Vunjo wasema wanagombea sambamba Na Nccr, wamlaumu Kwa kutowaachia kata ilihali wenyewe wamemwachia ubunge, mbatia akwepa kuongea Na waandishi wahabari, ashidwa kuwanadi madiwani wa Nccr kWenye mkutano.
Radio moshi fm.
My take: Mbatia sio politician. Ana uelewa mdogo. Alijua UKAWA ndo itamwokoa kumbe kamanda Mbowe once again is too clever. Mbatia loses good for mbowe. Nccr dies good for mbowe. Ndo maana wakamdaganya na jimbo ambalo kushinda ni ngumu kuliko kwa mdee.
And to make it worse ata kumwachia kata za udiwani mwenyekiti mwenza wa ukawa wamegoma despite taking lions share of places in tanzania.
Anyways... Wajinga ndo waliwao
Mbatia atapata ubunge wa viti maalumu, atateuliwa na Dr JOHN Pombe Magufuli.
Kweli TLP mmekwisha. Vunjo hampati kitu tena. Tumesha mrestisha in peace Lyatonga. Akajinywee mbege kule Kiraracha. Ushauri wangu kwako msee Lyatonga, hiso pesa sako unasowapa hao wanaokudanganya ati ni maajenti wako, nenda kamnunulie mama hata kitenge atakushukuru daima. Najua utasema anavyo vya kumtosha lakini nakuambia, mwanamke hatosheki na nguo. Weye pia hutosheki na muda wa uongozi.
Nenda kapumzike na hawa vikaragosi wako humu jf waambiye wakapumzike kwa amani. Vunjo ni ya Mbatia, madiwani ni wa Nccr, na weye huna hata lolote. Pamoja na vurugu mnazo zitengeneza, oneni aibu tuuuu.
"Anyways... Wajinga ndo waliwao"
wale takaoamini upuuzi huu ndio waliwao. Wanauakawa wa sio WAJINGA bali ni WAPUMBAVU!!!