Mkuu mi nasubiri ndoa hii itakavyowatia vitanzi wengine make wamechezeshwa kombe la mbuzi wakidhani ligi kuu mbatia ndiyo basi tena.Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
Mbatia kazoea vya dezo siku zote ubunge wenyewe kapewa kwenye ndoa kaingizwa hata mahali hajui nani atatoa mbatia sifuli kabisa.
Sasa si siri tena kwamba Bwn.James Mbatia kisiasa maetengeneza kitanzi cha kujimaliza mwenyewe na wabaya wake ndani ya NCCR Mageuzi wametumia kamba hiyo kummaliza kabisa Mbatia. Hii inatokana na uamuzi wa Mbatia kukiingiza chama chake kwenye ndoa ya mkeka na CUF na Chadema. Inasemekana wabaya wake wameamua kuja juu wakiuliza ni kikao gani kilichokaa kupitisha uamuzi wa kuamua kuolewa na vyama hivyo vingine? Wabaya wake hao wameshapanga mashambulizi kupitia uchaguzi wa ndani ya chama hicho mwaka huu!
Mkuu mi nasubiri ndoa hii itakavyowatia vitanzi wengine make wamechezeshwa kombe la mbuzi wakidhani ligi kuu mbatia ndiyo basi tena.