Mbatia kutimuliwa UKAWA?

Status
Not open for further replies.
TISS walioshidwa kujua nani kachukua pesa Stanbik Wataweza kuisambalatisha ukawa?????
 
Tatizo SLAA anafikiri yeye ndo mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya UKAWA. anamfitini MBATIA kwa vile anatajwatajwa kupeperusha bendera ya UKAWA
 

Tulia uchapwe na maandiko yako kama ifuatavyo:
1. Kwa jinsi ulivyoanza paragraph yako inaonyesha huna taarifa kamili ya hicho unachozungumza,unatunga na kuhisi
2. Umesema sisi tuliondani tunajua kinachotendeka;kisaokolojia sentesi hii huja baada ya maelezo ili kujazia concept ya mtu, sasa ndugu yangu unaanza kutuaminisha mwazo tu wa maelezo yako ili tukuamini-hii sikuzote sychologically haina ukweli
3.Umesema chanzo chetu kilichondani ya Ukawa (yaani wengine na sio wewe), mwazoni umesema tuliondani tunaelewa (yaani wewe na sio wengine), wewe si mkweli unajichanganya kutuaminisha.

Acha kutumiwa kama Toilet paper.
 
hahahahhahahhaha...stori zile zile zilizotarajiwa...this time CCM you are cornered
 
TISS walioshidwa kujua nani kachukua pesa Stanbik Wataweza kuisambalatisha ukawa?????
Mimi huwa nashindwa kuelewa msingi wa vyama vya siasa kuviunganisha vyombo vya ulinzi kwenye ugomvi wao
 


Mmmevurugwa, juhudi tunaziona...
 
Tatizo hii umeilta imekaa kitoto sana bhanaa,bila shaka leo hulipwi wewe
 
PIGO MOJA TU LA MWIGULU MNASAMBARATISHANA hizo ni rasha rasha mwaka huu mpaka mfukazane wasaka tonge wotee
 

inawezekana mada nyingi humu zinapata mashiko zikihusisha vyombo vya ulinzi,ndiyo maana hata mleta mada anashindwa kujipanga na taarifa yake. inawezekana kabisa ndani ya UKAWA pakawa si shwari lakini sioni sababu ya watu walioamua kuungana kwa ridhaa yao eti leo wanakosanishwa na TISS, kwa sababu gani sasa ya msingi.
 
Tatizo SLAA anafikiri yeye ndo mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya UKAWA. anamfitini MBATIA kwa vile anatajwatajwa kupeperusha bendera ya UKAWA
Mzee hawezi kuwa kiongozi wa nchi hii kwanza elimu yake ni elimu ya dini peke yake unawezaje kuongoza nchi kwa kusoma elimu ya dini pekee.
 

DIVIDE & RULE. Hamtafanikiwa kuwagawanya ili muwatawale kirahisi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…