Mbatia ataiabisha UKAWA Vunjo

Mbatia ataiabisha UKAWA Vunjo

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
220
Leo kwenye Mkutano wa mgombea ubunge kwa tiketi ya NCCR katika jimbo la Vunjo, James Mbatia ameshindwa kuhudhuria Mkutano wake uliofanyika Uchira, Kirua Vunjo Kusini baada ya polisi kumkatalia kutua na chopa kwa Kukosa kibali.

Kwenye Mkutano huo ambao ukihudhuria na watu wachache sana, (alihutubia mke wa Mbatia) Mpaka kujiuliza yale mafuriko pale Kiongozi wa UKAWA anapohutubia yamekwenda wapi?

Jibu, ni kwamba Mbatia bila kutumia Mgongo wa Lowassa hapati watu.

Mbatia amefanya mikutano miwili tu Vunjo, ule wa ufunguzi wa kampeni na ule wa Lowassa alipokuja Vunjo.

Mrema atamshinda vibaya Mbatia kiasi ambacho atawaaibisha UKAWA.

ImageUploadedByJamiiForums1445615825.144063.jpg ImageUploadedByJamiiForums1445615858.590932.jpg ImageUploadedByJamiiForums1445615893.556746.jpg ImageUploadedByJamiiForums1445615918.518556.jpg
 
Hivi wewe unamshabikia mnafki Mrema ,umewahi kujiuliza Mrema alileta tija gani kwenye bunge lilopita?
 
Mbatia alikwenda kufanya nini huko? Huyo ndo mwakilishi wetu tiyari. Hana haja kwani hata madiwani wake ndo wataongoza sereekali
 
Hivi wewe unamshabikia mnafki Mrema ,umewahi kujiuliza Mrema alileta tija gani kwenye bunge lilopita?

Kaleta maendeleo jimboni kwake au na hayo unataka kuyajua
 
Leo kWenye Mkutano wa mgombea ubunge kwa tiketi Ya Nccr katika jimbo la vunjo, James mbatia ameshindwa kuhudhuria Mkutano wake uliofanyika uchira, kirua Vunjo kusini baada Ya polisi kumkatalia kutua na chopa kwa Kukosa kibali.

Kwenye Mkutano huo ambao ukihudhuria na watu wachache sana, (alihutubia mke wa mbatia) Mpaka kujiuliza Yale mafuriko pale Kiongozi wa ukawa anapohutubia yamekwenda wapi? Jibu, ni kwamba mbatia bila kutumia Mgongo wa Lowassa hapati watu. Mbatia amefanya mikutano miwili tu Vunjo, ule wa ufunguzi wa kampeni na ule wa lowassa alipokuja Vunjo. Mrema atamshinda vibaya mbatia kiasi ambacho atawaaibisha ukawa.View attachment 302147View attachment 302148View attachment 302149View attachment 302150

Mimi niko mwika.
Nataka nikuambie kuwa Mbatia atashinda kwa kishindo.
take my words.
Hapa ni ukawa tu
 
mtoa mada acha uongo.....mimi.niko marangu......mbatia amekwishapita vijiji vyote.......isitoshe hana mpinzani.......atashinda kwa kishindo kikubwa ..
 
Leo kWenye Mkutano wa mgombea ubunge kwa tiketi Ya Nccr katika jimbo la vunjo, James mbatia ameshindwa kuhudhuria Mkutano wake uliofanyika uchira, kirua Vunjo kusini baada Ya polisi kumkatalia kutua na chopa kwa Kukosa kibali.

Kwenye Mkutano huo ambao ukihudhuria na watu wachache sana, (alihutubia mke wa mbatia) Mpaka kujiuliza Yale mafuriko pale Kiongozi wa ukawa anapohutubia yamekwenda wapi? Jibu, ni kwamba mbatia bila kutumia Mgongo wa Lowassa hapati watu. Mbatia amefanya mikutano miwili tu Vunjo, ule wa ufunguzi wa kampeni na ule wa lowassa alipokuja Vunjo. Mrema atamshinda vibaya mbatia kiasi ambacho atawaaibisha ukawa.View attachment 302147View attachment 302148View attachment 302149View attachment 302150

Mkuu kwani hiki sio kikao cha familia
 
Huyu alie toam habar hajitambui mbatia tunae toka.jana leo kafanya mikutano.8 vunjo mim nilikuwepo.mim nifund mitambo mkutano wa mwisho tumefanya makom
 
Nina uhakika:

Mbatia ndiye Mbunge mteule wa VUNJO na LOWASSA ndiye Rais mteule wa TANZANIA MPYA!!!

VIVA UKAWA, VIVA TANZANIA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom