Pamesalia takribani mwezi mmoja tu kufika octoba 25, Hali Ya mgombea ubunge jimbo la Vunjo Ni mbaya kiasi kwamba ameomba msaada kutoka kwa Mbowe/ lowassa wamsaidie.
Hii inakuja baada mbatia kutokaa katika jimbo la Vunjo Na kufanya kampeni, Mpaka sasa tangu kampeni zianze amekaa kWenye jimbo lake siku 6 tu Na kufanya mikutano 5 tu. Huku Muda mwingi akitumia kuzunguka Na lowassa Na kuwajibia ukawa Dar Es Salam. Pia wiki chache zilizopita madiwani wa Chadema jimbo la Vunjo waligoma kumpigia kampeni.
Mrema amekuwa Na nguvu kubwa Vunjo Hali inayoashiria mbatia atashidwa, Hivyo ili kumsaidia Mbatia asihadhirike Lowassa amepanga mikutano mitatu katika jimbo la Vunjo pekee, kitu ambacho hakifanyika kwenye jimbo Lolote analopita huwa anafanya Mkutano mmoja kila jimbo Na hata kutofika katika majimbo mengine Ya mbali.
Upendeleo huu unadhihirisha Hali Ya kisiasa ilivyokuwa mbaya kwa mbatia. Lowassa ratiba Yake Ya awali ilikuwa inaonyesha atakuwa Vunjo octoba 11 Na Mkutano mmoja tu Kwenye jimbo hilo. Sasa lowassa anakuja Vunjo kesho kutwa kwa ajili Ya kumsaidia mbatia