mbatia huyu bwabwaNi kweli CCM imeshikwa pabaya sana. Ila ni kwenye facebook na jamiiforum. In reality haijashikwa pabaya, subiri matokeo halafu unitafute nikuambie nini kimefanyika. Hahahahahahahaha
mbatia huyu bwabwa
lililotokea ni kuwa mbatia amesambaza mifano ya karatas za kupigia kura na sio kwamba ni kura feki kwa sasa kila kona ya jimbo la vunjo kila mtu anajua jins ya kupiga kura bila kuharibu kura yake bwana mrema hii ikamuuma sana ndo mana anajaribu kumpiga vita mbatia ila hakuna ukwel kuwa mbatia amekutwa na kura zilizopigwa ile ni mifano ya kura mtoa post naona umekaa kishabiki zaid acha kuchochea usivyojua
Jamani hizi karatasi za mifano si ndio hata wapambe wa mgombea wa chadema na ccm wanatumia kwenye kampeni kuelekeza wapiga kura. Kosa liko kwa mbatia tu??
Jana nilileta uzi kwamba kuna kura zilikutwa kwa mlinzi wa kanisa la KKKT Himo akiwa na karatasi za kura ambazo zilikuwa zimeshapigwa kwa James Mbatia.
Jambo hilo limechukua sura mpya leo baada ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la Vunjo kumwandikia barua mgombea ubunge James Mbatia, kwa Nini anasambaza nyaraka hizo za tume ya uchaguzi bila idhini ya tume na ameenda kinyume na maadili.
View attachment 300486