Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,975
- 218,886
Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .
Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !