mtvbase JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 1,243 Reaction score 563 Aug 24, 2014 #1 Mbasha ametoa album yake mwenyewe ya kwanza bila Flora Mbasha.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,093 Aug 24, 2014 #2 makubwa....!!!!
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 12,943 Reaction score 25,588 Aug 24, 2014 #3 Apige kazi atafute hela,,papuchi hiyo awaachie wengine!
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,076 Reaction score 1,768 Aug 24, 2014 #4 gudi sana
M maiye JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,175 Reaction score 2,088 Aug 24, 2014 #6 Kazi ipo.
cmoney JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 3,606 Reaction score 5,626 Aug 24, 2014 #7 Huyo Jamaa Kama Kama anapata publicity ya kijinga....anajaribu kujiweka innocent
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,302 Aug 24, 2014 #8 Kila la heri katika harakati hizi, hope Mungu atamfanyia wepesi na atafanikiwa pia.
promiseme JF-Expert Member Joined Mar 15, 2010 Posts 2,706 Reaction score 935 Aug 24, 2014 #9 Mungu atakupa mwenye kheir na wewe..............
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 772 Aug 24, 2014 #10 Tumia fursa kk,tunanunua cd kwa kukuhurumia.....maaninya
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Aug 24, 2014 #11 hyo album ni ya nyimbo za gospel au bongo flavour mbona binadam tunamtania Mungu kiasi hki.
E Easy E JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 2,076 Reaction score 1,768 Aug 24, 2014 #12 lazima niinunue...kuna kipindi nilipitia msoto sababu ya mal.ya...nikionaga mwana anapitia issue kama hizi waga nakumbuka mbali sana...da!
lazima niinunue...kuna kipindi nilipitia msoto sababu ya mal.ya...nikionaga mwana anapitia issue kama hizi waga nakumbuka mbali sana...da!
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,272 Aug 24, 2014 #13 Huyo Mariooo hata kuimba anajua bas?? Au kina Ruge washaona fursa
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,955 Reaction score 9,531 Aug 25, 2014 #14 christmas said: hyo album ni ya nyimbo za gospel au bongo flavour mbona binadam tunamtania Mungu kiasi hki. Click to expand... Mkuu nimecheka sana watu wanasaka TONGE tu hakuna cha zaidi......
christmas said: hyo album ni ya nyimbo za gospel au bongo flavour mbona binadam tunamtania Mungu kiasi hki. Click to expand... Mkuu nimecheka sana watu wanasaka TONGE tu hakuna cha zaidi......
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,955 Reaction score 9,531 Aug 25, 2014 #15 Pukudu said: Huyo Mariooo hata kuimba anajua bas?? Au kina Ruge washaona fursa Click to expand... Msiwapondee MARIOO sababu maisha hayana Fomla...cdhani km.alipokuwa shule aliwekeza Akili kutunzwa na Mwanamke so Ujinga niile mtu kujisahau lkn kwa mtu anaejitambua uMARIOO ni daraja km madaraja mengine yakumvusha mtu kutimiza ndoto zake....
Pukudu said: Huyo Mariooo hata kuimba anajua bas?? Au kina Ruge washaona fursa Click to expand... Msiwapondee MARIOO sababu maisha hayana Fomla...cdhani km.alipokuwa shule aliwekeza Akili kutunzwa na Mwanamke so Ujinga niile mtu kujisahau lkn kwa mtu anaejitambua uMARIOO ni daraja km madaraja mengine yakumvusha mtu kutimiza ndoto zake....