Mjini watu Wana Siri nzito Sana wakuu , Jambo la kwamba Mbasha , Noel stylish na classmate wangu pale University of Iringa , Manara , Maulid wa Kitenge , B12 wote ni mabwabwa linashangaza Sana ..... Aiseee issue ya kuficha Siri za watu hapo Mungu alicheza kama Pele.....
Ngoja niagize Pepsi ya bardi Kwanza
Mimi ctaki hata followers kwa kweliNataka nifungue acc huko ig,unatumia jina gani tukuongezee folowers?
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu shila ni mhuni na tongoza tongoza kashawahi nifata Dm kwa mtongozo watu wawe makini naye?
cariha kwani Kuna tatizo gani yeye kukutongoza? Yeye si binadamu Kama sisi na yeye pia anahisiaHuyu shila ni mhuni na tongoza tongoza kashawahi nifata Dm kwa mtongozo watu wawe makini naye?
OkayMimi ctaki hata followers kwa kweli
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unauliza au unaeleza?Huyu shila ni mhuni na tongoza tongoza kashawahi nifata Dm kwa mtongozo watu wawe makini naye?
Ndele hizo mpwa wewe huziwezi full makafaraTena akiingia kanisan hakanyag chini, wapendwa wanamtandikia kanga nyeupe mtumishi akanyage, yule mbwa sijui anarogaga wapi, Ndele yake kiboko[emoji23][emoji23]
Sasa hvi ndele zimeisha Naona waumin wote wamemkimbia na kanisa kafunga watu wameshaanza kulalamika utapel wake, Jamaa kawatapel wanawake za watu hatar halafu ni mwizi
Hivi kwa kile kipisi cha huyo Shilla wanawake huwapa nini aiseeSiku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na ushahidi na watu aliowatapeli mamillion ya pesa kwa kupitia mwanvuli wa dini.
Hata hvyo Nabii shillah baada ya kuona ngoma nzito akaamua kumfuata mbasha pembeni na kumuomba hayo mambo yaishe na maisha yaendelee, Coz Mbasha aliahid leo kufikisha madai yote mahakaman pamoja na watu aliowatapeli
Cha kushangaza baada ya kusuhulisha ugomvi shillah karudi tena Instagram na kujifanya mwamba ambapo mbasha kamuonya mara moja afute post yake kabla hajachafua hali ya hewa, hata hivyo shillah alifuta post kuhusu mbasha kwa kuogopa kuvuliwa nguo na mtumishi huyo aliyejipatia maarufu baada ya kupigwa mtama na mtangazi wa clouds Adam mchomvu
Ila wanazengo na nyie, mtu kama shillah kweli na nyie mnakaa kabisa kanisan kwake mnaamin ni mtumshi wa Mungu , jitu tapeli la wazi wazi , mzinzi makanisa yake ya uchochoron yote yamefungwa. Mtu anajiitta Billionare halafu anakukopa million na wewe unatoa, nyie mbwa nani aliyewaroga, hizo hela si bora mkapeleke kwa waganga mkarogee kuliko kuzitupa kwa huyo mbwa mwizi, mxieew
Pesa anaitoa wapi yule tapeli?Pesa binamu, ukiwa na pesa hata uwe na ki tooth-stick utasikia unaambiwa una mguu wa mtoto[emoji23]
Miss you binamu