Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameapa kwa kulamba kidole, kukichovya kwenye mchanga kisha kukipitisha shingoni kuwa, hana mpango wa kurudiana na mkewe huyo katika maisha yake.
anajua atashinda kesi...dokta alitoa ushahidi kwamba aliyebakwa alijitembeza weeee kwa siku kadhaa..kuja kupima hamna kitu,flora alijaribiwa na shetani akaingia kingi kwa kusema mumewe kabaka,akajua atafungwa
Nyuzi nyingine bwana, mpaka basi. Haya wakianza kugegedana mtuletee Uzi pia. Mara Shilole na "Kindergarten" wake mara hukuuuu "wazeee wa vinubi na vinanda". Akili nachoka kabisaa
Nyuzi nyingine bwana, mpaka basi. Haya wakianza kugegedana mtuletee Uzi pia. Mara Shilole na "Kindergarten" wake mara hukuuuu "wazeee wa vinubi na vinanda". Akili nachoka kabisaa