Technologia, hasa ya internet, na vifaa vyake kama simu imekuja kuonyesha utupu wa watu uliojaa vichwani, utaona picha za ajabu, comment na post za kijinga mitandaoni.
Kama si mabadiliko hata ya tech, tusingesikia na kuona habari utupu uliojaa vichwani mwa kina Faiza, Lemutuz, Gigy, na wengine.
And this is for sure, usipokuwa makini utapata aibu ya mwaka.
Alimsifia Ngosha na akasema haogopi kelele za watu kumsema , wakati huo kazima comments ...Mange akamwambia aache comments wazi kama mwanaume , wanaume kulelewa vyuma vimekaza asifikiri atapata bahati ya kulelewa kama Shamte wa mama Diamond....pia eti mbasha kapauka kama vitenge vya china...jamaa akaishia kuweka account yake private maana walimwengu waliandamana kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.