Mbaroni kwa kutishia kumuua mamaake

Mbaroni kwa kutishia kumuua mamaake

Umesema maneno mazito sana na kweli tupu! tena mie naona bora usiwe navyo ndio utakuwa na amani labda
Ukilala na njaa utatamani MUNGU angekupa akikupa wezi mpaka watoto wa kuzaa mwenyewe wanaona bora ufe usiwanyime raha. Wako waliouawa kabisa na watoto kwa ajili ya mali.
 
Ukilala na njaa utatamani MUNGU angekupa akikupa wezi mpaka watoto wa kuzaa mwenyewe wanaona bora ufe usiwanyime raha. Wako waliouawa kabisa na watoto kwa ajili ya mali.

Akina mama au niseme wazazi wanatakiwa kumuomba Mungu sana, awaweke watoto wao katika maadili mema!
 
Back
Top Bottom