Yap kuna baadhi walizidi kunihuzunisha kama akina utafiti Munkari, amu, KINGmaro, Passion Lady, hamjafa hamjaumbika mjue, kuna wengine walidiriki hata kuniua kwa kuniambia RIP.Nimefurahi mkuu kusikia hivyo,nitafurahi zaidi kuona JF members likitokea tatizo tunasaidiana baada ya kuanza kutoa kashfa kama ule uzi ulivyokuwa unajieleza kwa baadhi ya wachangiaji........bila shaka utakuwa makini zaidi na kuwa msaada kwa wenzako.
Yap kuna baadhi walizidi kunihuzunisha kama akina utafiti Munkari, amu, KINGmaro, Passion Lady, hamjafa hamjaumbika mjue, kuna wengine walidiriki hata kuniua kwa kuniambia RIP.
Ila niwashukuru kina Red Giant, Aadilu, kibhopile, Red Giant, asee mjue mmeusave uhai wangu! Hasa King'asti na Bawa mwamba
mbarikiwe kwakweli.
umeona eh kupima kipaj! Ndo maana ulinikmbia ile siku ile excelaisee!! kaka hongera!
kupima ni moyo...
Kwanza ukome kuntaja taja mie nlikuambia neno moja tu"ukome" hope umekoma hurudii tena.
Huoni kuwa nimekusaidia??
umeacha kuwataja wakina snowhite huko unamtaja mie.
Narudia tena ukome ubaba huruma.
Siku hiz sikuelewiii mkariiiiii kwelii watakukomajeeee!!!
hmm! mkuu unajistukia eenh? lols!Nimefanyaje mbona nimeitwa huku?