Mbappe kanitekea demu wangu

Kuanzia leo sitak mazoea na Wanyantuzu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie nimebadili kabira nmekua mchaga wa Marangu
🀣🀣🀣 Yote hayaa ni kuninyima tuuu??

Sawaaa ukifa ,tunakuzika Bariadi 🀣
 
Ingetokea mbappe akaja bongo, angewafukunyua wanawake wengi sanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ingetokea mbappe akaja bongo, angewafukunyua wanawake wengi sana[emoji23][emoji23]

Angeoa wote wanaume wabongo wangekosa hata mmoja [emoji23][emoji23]
 
Reactions: jo5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…