B bbyfay Member Joined Jun 3, 2013 Posts 26 Reaction score 3 Sep 8, 2021 #1 Habari wanajamiiforum, Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati? Ahsanteni
Habari wanajamiiforum, Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati? Ahsanteni
M mdaz New Member Joined Aug 19, 2014 Posts 3 Reaction score 3 Sep 8, 2021 #2 bbyfay said: Habari wanajamiiforum, Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati? Ahsanteni Click to expand... Mpodo
bbyfay said: Habari wanajamiiforum, Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati? Ahsanteni Click to expand... Mpodo
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,135 Sep 9, 2021 #3 Katika hali ya kawaida mninga ni mzuri zaidi lakini mkongo ndio mbao ngumu yenye rangi nzuri na samani yake huwa na mwonekano mzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali ya kawaida mninga ni mzuri zaidi lakini mkongo ndio mbao ngumu yenye rangi nzuri na samani yake huwa na mwonekano mzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,439 Reaction score 2,287 Sep 9, 2021 #4 Mkongo na Mninga zote ziko bomba, Mninga siku hizi ni nyara ya serikali kama utabahatika ukapata Mkongo tembea nao.
Mkongo na Mninga zote ziko bomba, Mninga siku hizi ni nyara ya serikali kama utabahatika ukapata Mkongo tembea nao.
M Mizega Senior Member Joined Feb 10, 2021 Posts 161 Reaction score 337 Sep 9, 2021 #5 nuruyamnyonge said: Mkongo na Mninga zote ziko bomba, Mninga siku hizi ni nyara ya serikali kama utabahatika ukapata Mkongo tembea nao. Click to expand... Nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara
nuruyamnyonge said: Mkongo na Mninga zote ziko bomba, Mninga siku hizi ni nyara ya serikali kama utabahatika ukapata Mkongo tembea nao. Click to expand... Nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,439 Reaction score 2,287 Sep 9, 2021 #6 Mizega said: nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara Click to expand... Nashukuru sana mkuu
Mizega said: nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara Click to expand... Nashukuru sana mkuu
B bbyfay Member Joined Jun 3, 2013 Posts 26 Reaction score 3 Sep 9, 2021 Thread starter #7 mdaz said: Mpodo Click to expand... okay nuruyamnyonge said: Mkongo na Mninga zote ziko bomba, Mninga siku hizi ni nyara ya serikali kama utabahatika ukapata Mkongo tembea nao. Click to expand... okay....ahsante sana
mdaz said: Mpodo Click to expand... okay nuruyamnyonge said: Mkongo na Mninga zote ziko bomba, Mninga siku hizi ni nyara ya serikali kama utabahatika ukapata Mkongo tembea nao. Click to expand... okay....ahsante sana
B bbyfay Member Joined Jun 3, 2013 Posts 26 Reaction score 3 Sep 9, 2021 Thread starter #8 sawa...ahsante sana
DALA JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,259 Reaction score 4,690 Sep 9, 2021 #9 Mizega said: nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara Click to expand... Unapatikana wapi?
Mizega said: nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara Click to expand... Unapatikana wapi?
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,439 Reaction score 2,287 Sep 9, 2021 #10 Mizega said: nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara Click to expand... Mgama na Mkongo kwenye flame za milango upi ni bora zaidi
Mizega said: nina Mninga Mkuu na vibali ninavyo vyote, njoo inbox tufanye biashara Click to expand... Mgama na Mkongo kwenye flame za milango upi ni bora zaidi