Kweli kabisa ukipata na mimi naomba unijulishe, bei za mjini balaa mkosi. Wadau tusaidieni katika hili.wandgu nahiji kununua mbao kwa ajili ya kufanyia roofing kwa wale wanaozifata shamba moja kwa moja ziwe treated bei za town ni balaa
Mkuu bado unafanya biashara hii? Kama bado unazo mbao, bei gani unauza kwa sasa mbao hizi 4*2 na 2*2 urefu wa futi 12? Naitaji mbao kama 400.Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, njooni tufanye biashara. Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa order (unatoa order na idadi maalumu, tunakwambia utapata lini mzigo. Na tunakuletea mpaka site).
Mnazi unatoa mbao imara sana na ni hard wood kama vile mkongo, mpodo au mninga. Hazihitaji dawa za kukimbiza au kuzuia wadudu na guarantee ni zaidi ya miaka 30 hautosumbuka na paa lako. Kwa uhakika zaidi, ongea na mafundi paa, au muulize fundi wako kabla hujanitafuta.
Bei zinavary kutokana na idadi ya mbao. Mfano 4*2 tunauza 9000, 2*2 tunauza 3000, 8*1 tunauza 9000, hizi zote ni zenye urefu wa futi 12.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0714881500
Ndio Mkuu, Na bei ni kama ile ile ya mwanzo. 4*2 bei ni 9,000 na 2*2 bei ni 3,000. Kwakuwa unaletewa bure mpaka site, bei haipungui.Mkuu bado unafanya biashara hii? Kama bado unazo mbao, bei gani unauza kwa sasa mbao hizi 4*2 na 2*2 urefu wa futi 12? Naitaji mbao kama 400.
Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, njooni tufanye biashara. Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa order (unatoa order na idadi maalumu, tunakwambia utapata lini mzigo. Na tunakuletea mpaka site).
Mnazi unatoa mbao imara sana na ni hard wood kama vile mkongo, mpodo au mninga. Hazihitaji dawa za kukimbiza au kuzuia wadudu na guarantee ni zaidi ya miaka 30 hautosumbuka na paa lako. Kwa uhakika zaidi, ongea na mafundi paa, au muulize fundi wako kabla hujanitafuta.
Bei zinavary kutokana na idadi ya mbao. Mfano 4*2 tunauza 9000, 2*2 tunauza 3000, 8*1 tunauza 9000, hizi zote ni zenye urefu wa futi 12.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0714881500
Kuna sehemu mbao hizo za mnazi zinauzwa SHS 5500 4by2yenye futi 15
halaf zinakujaje Site kwa bei hiyo?
ukipiga simu itakuwa umefanya jambo ya mbolea sana. Discount inategemea na umbali wa site ilipo, wingi wa mbao unazochukua nk.Wanadau wanataka punguzo. Discount sh ngapi.