Mbao za kuezekea kutoka shamba

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
wandgu nahiji kununua mbao kwa ajili ya kufanyia roofing kwa wale wanaozifata shamba moja kwa moja ziwe treated bei za town ni balaa
 
Babuu Senior

Member
Jul 9, 2009
16
2
wandgu nahiji kununua mbao kwa ajili ya kufanyia roofing kwa wale wanaozifata shamba moja kwa moja ziwe treated bei za town ni balaa
Kweli kabisa ukipata na mimi naomba unijulishe, bei za mjini balaa mkosi. Wadau tusaidieni katika hili.
 
Mazingira

JF-Expert Member
May 31, 2009
1,833
295
Jamani kwa wazoefu hebu tusaidieni wenzenu tupate hizi mbao kwa bei nafuu kutoka shamba moja kwa moja
 
Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
442
166
Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, njooni tufanye biashara. Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa order (unatoa order na idadi maalumu, tunakwambia utapata lini mzigo. Na tunakuletea mpaka site).
Mnazi unatoa mbao imara sana na ni hard wood kama vile mkongo, mpodo au mninga. Hazihitaji dawa za kukimbiza au kuzuia wadudu na guarantee ni zaidi ya miaka 30 hautosumbuka na paa lako. Kwa uhakika zaidi, ongea na mafundi paa, au muulize fundi wako kabla hujanitafuta.
Bei zinavary kutokana na idadi ya mbao. Mfano 4*2 tunauza 9000, 2*2 tunauza 3000, 8*1 tunauza 9000, hizi zote ni zenye urefu wa futi 12.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0714881500
 
abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
849
771

Mkuu bado unafanya biashara hii? Kama bado unazo mbao, bei gani unauza kwa sasa mbao hizi 4*2 na 2*2 urefu wa futi 12? Naitaji mbao kama 400.
 
Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
442
166
Mkuu bado unafanya biashara hii? Kama bado unazo mbao, bei gani unauza kwa sasa mbao hizi 4*2 na 2*2 urefu wa futi 12? Naitaji mbao kama 400.
Ndio Mkuu, Na bei ni kama ile ile ya mwanzo. 4*2 bei ni 9,000 na 2*2 bei ni 3,000. Kwakuwa unaletewa bure mpaka site, bei haipungui.
Nipigie 0714881500 kama uko interested.
 
Gamariel

Member
Sep 8, 2009
82
6
Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, njooni tufanye biashara. Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa order (unatoa order na idadi maalumu, tunakwambia utapata lini mzigo. Na tunakuletea mpaka site).
Mnazi unatoa mbao imara sana na ni hard wood kama vile mkongo, mpodo au mninga. Hazihitaji dawa za kukimbiza au kuzuia wadudu na guarantee ni zaidi ya miaka 30 hautosumbuka na paa lako. Kwa uhakika zaidi, ongea na mafundi paa, au muulize fundi wako kabla hujanitafuta.
Bei zinavary kutokana na idadi ya mbao. Mfano 4*2 tunauza 9000, 2*2 tunauza 3000, 8*1 tunauza 9000, hizi zote ni zenye urefu wa futi 12.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0714881500

Kuna sehemu mbao hizo za mnazi zinauzwa SHS 5500 4by2yenye futi 15
 
Hippolity

New Member
Jul 24, 2014
1
0
Mama Cha
Kama bado unahitaji, ninazo mbao 100 za size 1"x6,7 urefu ft 7 hadi 8 bei Tshs 9,000/=maelewano yapo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom