MBAO 4"x4"

MBAO 4"x4"

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Natafuta mbao zenye size ya inchi 4 kwa inchi 4.
Nipo Dar.
Nazihitaji leo hii!
 
Mbao????
Kwa nini unatafuta hapa...
 
hardwood au softwood?urefu?

Natafuta HARDWOOD.
Nadhani nd'o zile kwetu Tabora wanaziita "mbilimbi" - huwa wanatumia kutengeneza nguzo nne za vitanda vya mbao.
Fundi wangu anazihitaji kwa ajili ya ku-support floor ya kibanda cha mbao kinachojengwa.
 
Back
Top Bottom