Mbali na mke, kuna mwanafamilia mwingine aliyemtembelea Lissu Nairobi?

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Nakumbuka tangu Lissu alipopatwa na mkasa wa kushambuliwa kwa risasi na watu wasiyojulikana pale Dodoma, mtu kutoka familia yake aliyekuwepo ni mke wake.

Watu watatu walioondoka na mgonjwa kwenda Nairobi ni mke wake, Mbowe na Msigwa, wote hao hawajarudi Tanzania, wamepiga kambi huko ni jambo jema.

Wanachama wa CHADEMA hususan wabunge wanapishana barabarani na angani kutoka na kwenda Nairobi kumusabahi Lissu na camera za video kama kawa zinatuonesha, huo ndio utu. Hata wasio wana chama wa CHADEMA(Hongera sana Mh. Zitto Kabwe, wewe ni Shujaa kwenye sakata hili la Lissu, kwa jinsi Lissu alivyosimamia wewe kusulubiwa, sijui kama ni wewe ndiyo ungekuwa ulimtenda Lissu, Kwa roho ya Lissu sijui kama angethubutu hata kutaka kujua umelazwa wapi. Wewe ni mkomavu wa kisiasa) nao wanamiminika Nairobi.

Mbali na Mke wa Lissu, mwanafamilia mwingine aliyebahatika kumuona Lissu baada ya kushambuliwa ni nani? Kama ni hamna, kuna maswali mengi ya kujiuliza:

1. Lissu hana ndugu wengine?

2. Ndugu wapo ila hawana uwezo wa kiuchumi kuwawezesha kufika Nairobi?

3.Hawa waliopiga Kambi Nairobi wana uchungu na Lissu kuliko Ndugu zake?

4. Lissu hana mahusiano mazuri na ndugu zake? (hii halina uzito sana sababu kwa mila zetu za kiafrika, wakati matatizo ndipo tofauti zote katika familia zinapozikwa.

5. Kuna kitu familia hii inafichwa?

Jamani tutumie matukio kujipatia umaarufu wa kisiasa lakini tukumbuke vitu vidogo sana vinavyoweza kutufanya tusieleweke mbele ya jamii.

Tuoneshwe kupitia camera na video ndugu wakimtembelea ndugu yao hospitalini kama ambavyo wanasiasa wanavyoonekana huko.

Kwa mtazamo wangu, Huruma kwa Lissu ingeongezeka zaidi kama ndugu zake wangeonekana wakisitika pamoja na ndugu yao. Hawa wanasiasa tutaishia tu kusema wamepata pa kupatia umaarufu. "WANAFANYA SIASA"
 
Nakumbuka tangu Lissu alipopatwa na mkasa wa kushambuliwa kwa risasi na watu wasiyojulikana pale Dodoma, mtu kutoka familia yake aliyekuwepo ni mke wake. Watu watatu walioondoka na mgonjwa kwenda Nairobi ni Mke wake, Mbowe na Msigwa, wote hao hawajarudi tz, wamepiga kambi huko, ni jambo jema. Wanachama wa Chadema hususan Wabunge wanapishana barabarani na angani kutoka na kwenda Nairobi kumusabahi Lissu, na Camera za video kama Kawa zinatuonesha, huo ndiyo utu. Hata wasio wana chama wa chadema(Hongera sana Mh. Zitto Kabwe, wewe ni Shujaa kwenye sakata hili la Lissu, kwa jinsi Lissu alivyosimamia wewe kusulubiwa, sijui kama ni wewe ndiyo ungekuwa ulimtenda Lissu, Kwa roho ya Lissu sijui kama angethubutu hata kutaka kujua umelazwa wapi. Wewe ni mkomavu wa kisiasa) nao wanamiminika Nairobi.
Mbali na Mke wa Lissu, mwanafamilia mwingine aliyebahatika kumuona Lissu baada ya kushambuliwa ni nani? Kama ni hamna, kuna maswali mengi ya kujiuliza:
1. Lissu hana ndugu wengine?
2. Ndugu wapo ila hawana uwezo wa kiuchumi kuwawezesha kufika Nairobi?
3.Hawa waliopiga Kambi Nairobi wana uchungu na Lissu kuliko Ndugu zake?
4. Lissu hana mahusiano mazuri na ndugu zake? (hii halina uzito sana sababu kwa mila zetu za kiafrika, wakati matatizo ndipo tofauti zote katika familia zinapozikwa.
5. Kuna kitu familia hii inafichwa?

Jamani tutumie matukio kujipatia umaarufu wa kisiasa lakini tukumbuke vitu vidogo sana vinavyoweza kutufanya tusieleweke mbele ya jamii.
Tuoneshwe kupitia Camera na video ndugu wakimtembelea ndugu yao hospitalini kama ambavyo wanasiasa wanavyoonekana huko.
Kwa mtazamo wangu, Huruma kwa Lissu ingeongezeka zaidi kama ndugu zake wangeonekana wakisitika pamoja na ndugu yao. Hawa wanasiasa tutaishia tu kusema wamepata pa kupatia umaarufu. "WANAFANYA SIASA"

Waswahili wengine bana..wewe inakuhusu nini? Kama unaweza kwenda kumuona. GO. Kama huwezi shut up your mouth! Au unalipwa kulingana na post ulizoweka humu kwa siku???
 
Mkuu wewe unaweza kupata matatizo, ndugu zako wasifike, kweli? Basi siasa hazina maana kabisa
 
Nakumbuka tangu Lissu alipopatwa na mkasa wa kushambuliwa kwa risasi na watu wasiyojulikana pale Dodoma, mtu kutoka familia yake aliyekuwepo ni mke wake.

Watu watatu walioondoka na mgonjwa kwenda Nairobi ni mke wake, Mbowe na Msigwa, wote hao hawajarudi Tanzania, wamepiga kambi huko ni jambo jema.

Wanachama wa CHADEMA hususan wabunge wanapishana barabarani na angani kutoka na kwenda Nairobi kumusabahi Lissu na camera za video kama kawa zinatuonesha, huo ndio utu. Hata wasio wana chama wa CHADEMA(Hongera sana Mh. Zitto Kabwe, wewe ni Shujaa kwenye sakata hili la Lissu, kwa jinsi Lissu alivyosimamia wewe kusulubiwa, sijui kama ni wewe ndiyo ungekuwa ulimtenda Lissu, Kwa roho ya Lissu sijui kama angethubutu hata kutaka kujua umelazwa wapi. Wewe ni mkomavu wa kisiasa) nao wanamiminika Nairobi.

Mbali na Mke wa Lissu, mwanafamilia mwingine aliyebahatika kumuona Lissu baada ya kushambuliwa ni nani? Kama ni hamna, kuna maswali mengi ya kujiuliza:

1. Lissu hana ndugu wengine?

2. Ndugu wapo ila hawana uwezo wa kiuchumi kuwawezesha kufika Nairobi?

3.Hawa waliopiga Kambi Nairobi wana uchungu na Lissu kuliko Ndugu zake?

4. Lissu hana mahusiano mazuri na ndugu zake? (hii halina uzito sana sababu kwa mila zetu za kiafrika, wakati matatizo ndipo tofauti zote katika familia zinapozikwa.

5. Kuna kitu familia hii inafichwa?

Jamani tutumie matukio kujipatia umaarufu wa kisiasa lakini tukumbuke vitu vidogo sana vinavyoweza kutufanya tusieleweke mbele ya jamii.

Tuoneshwe kupitia camera na video ndugu wakimtembelea ndugu yao hospitalini kama ambavyo wanasiasa wanavyoonekana huko.

Kwa mtazamo wangu, Huruma kwa Lissu ingeongezeka zaidi kama ndugu zake wangeonekana wakisitika pamoja na ndugu yao. Hawa wanasiasa tutaishia tu kusema wamepata pa kupatia umaarufu. "WANAFANYA SIASA"
Mnamtaka na wao muwapige risasi.
 
Ndugu umeongea mawazo fikirishi Sana kwa mtu anayejitambua, Lakini subiri matuzi dozens, kejeri, dhihaka, dharau na uchafu mwingi tu toka bavicha
 
Back
Top Bottom