Huyu nani alitokea huko, huyu wa muziki asadieDah afadhali umeleta uzi..nilikua naona uvivu kuleta ila ukweli tangu Mzalendo namba moja aseme wafanyie biashara barabarani uchafu umekua mara dufu yaani mbagala ni chafu kupitiliza sitashangaa kama kikilipuka kipindupindu.
Pesa ipo mashenzini biashara yeyote unatokaMashenzini ni mashenzini. Hiv mwendokasi imefikia wapi?
Ni sawa na kutenganisha tv na remote au chai na sukari.Bashite atumbuliwe.