Mbagala cha mtoto.

Mbagala cha mtoto.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1994_Crisis_Goma_36882-c-Roger-Job.jpg
 
Hivi alosema mbagala ndiyo epitomy ya uswazi ni nani? .. au ndo bongo fleva?
Unaweza fananisha mbagala na lets say kigogo au tabata? au mwananyamala?
 
Mmmeh! Wapi huko? Naona basi la kizamani zaidi, Leyland Albion, pia Combi pembeni. Mmmh, labda ni massacre of 1 million Rwandan Tutsis by ethnic Hutus in 1994! Sijuhi ni wakimbizi hawa? Vita ni vita tu bwana!
 
Mbagala kipindi cha nyuma ndio ilikua SI Unit ya usafiri kafiri hapa Dar..since then imekua ikitumika kama reference
 
Naona milima na mabonde kwa mbali..................sipati picha
 
Mmmeh! Wapi huko? Naona basi la kizamani zaidi, Leyland Albion, pia Combi pembeni. Mmmh, labda ni massacre of 1 million Rwandan Tutsis by ethnic Hutus in 1994! Sijuhi ni wakimbizi hawa? Vita ni vita tu bwana!
Rwanda hiyo
 
Back
Top Bottom