Ni muda sasa tumekuwa tukisubiri maeneo yetu yafikiwe na miundo mbinu sahihi kama vile maeneo kupimwa Barabara nk lakini malengo ya upimaji yako palepale ila utekelezaji ndio mwendo wa Kobe,
Sehemu kama Nzuguni kwa Manispaa ya Dodoma ni sehemu kubwa majengo makubwa lakini hayana hati hivyo husababisha mwenye nyumba ya tope ya laki 3 anakuwa jirani na mwenye mjengo wa ml 300 hii si sahihi kabisa Manispaa inatakiwa ijipange ipime viwanja na ipangilie mji wa Nzuguni ,pia hali iliyopo ni sawa kabisa na ntyuka na sijui lengo laManispaa ni kuzifanya manzese ama m/nyamala za Dodoma.kuna eneo la mbuyuni kizota hili eneo limeachwa ujenzi unaendelea kama kawaida na Manispaa haijatoa uamuzi wowote mpaka sasa najiuliza kwa nini wasimalize mkanganyiko wa hili eneo la mbuyuni ili kama ni makazi rasmi watu wajenge kwa mpangilio sahihi au ndio kusubiria wanasiasa waje wapate sifa pindi migogoro inapotokea ni hayo tu ,