me pia nmeshangaai thought u talking about life aaaargh but love
Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote.
Sasa katika Hali hii ile formular ya kutenganisha Mayai na kutoyaweka pamoja itakusaidia ili kuepusha hasara yakivunjika yote au ile ya distribution of risk itasaidia Sana.
Mwanamke hupaswi kuweka tumaini lako kwa mtu mmoja ili akizingua usiumie. Yani ikitokea amezingua unaandika nne unatafuta wine unashushia unapigia figa LA pili unacheeeeka siku inaisha.
Usije kusema hukuambiwa.
Jioni njema
Unakufa uku unajiona kisa plan BIli wakitufuma watuchome visu akuuuu
Na hizo plan B na zenyewe zina plan B, C, D, XYZ utajua hujui.Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote.
Sasa katika Hali hii ile formular ya kutenganisha Mayai na kutoyaweka pamoja itakusaidia ili kuepusha hasara yakivunjika yote au ile ya distribution of risk itasaidia Sana.
Mwanamke hupaswi kuweka tumaini lako kwa mtu mmoja ili akizingua usiumie. Yani ikitokea amezingua unaandika nne unatafuta wine unashushia unapigia figa LA pili unacheeeeka siku inaisha.
Usije kusema hukuambiwa.
Jioni njema
Hapo sasaUnakufa uku unajiona kisa plan B
Hata haya ni ya msingiHivi nyie wenzetu hamnaga mambo ya msingi ya kuwaza..? Maisha hayawapi challenge nyingine yeyote isipokuwa mapenzi..? Yaani wewe jumamosi ya leo ni ya mwisho wa mwezi, watu tushapigika week nzima hapa kichwa hakifai alafu bado mnataka tuyawaze mapenzi..?
Muanzisha mada tafakari sana maisha yako, muelekeo unaoenda nao unapotea mdogo wangu.