Mba sehem nyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mba sehem nyeti

Discussion in 'JF Doctor' started by Crucial Man, Aug 15, 2012.

 1. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hello jamii doctors,nimekuwa na tatizo la kutokwa na dalili za mba sehemu za katikati ya paja na testacles zangu,both sides.siku za nyuma nilipewa dawa ya kupaka zikapotea kabisa.mara hii zimerudi kwa kasi sana.juu ya pumbu moja kametokea kama kibarango,after 3 days kame spread na kameanza kunyeuka na kujivua gamba mithili ya nyakoka anae jivua gamba then pana washa.je hii yaweza kuwa std na namba ushauri nitumie dawa gani nilimalize tatizo hili once and for good.asanteni.
   
 2. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pole sana me sio doctor ila kikubwa ni kuangalia material ya nguo unazovaa,ziwe za cotton zaidi pia uzingatie usafi. hii tatizo ya mba huwa inatabia ya kujirudia sana so beta uende hosp upative dawa na umalize dose.

  i heard KETOCONAZOLE ni nzuri ila pia pia utumie na topical cream eg QUADRIDERM(am not sure na spelling)
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Kuwa muangalifu juu ya dawa unazotumia, Hilo Eneo ni sensitive na Madhara ya dawa hayeshi upesi.
  onana na specialist wa ngozi, ukiona hakusaidii onana na urologist.
   
 4. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  thanx little malaika,hapo kwenye material za pant ntaifanyia kazi.nimenote dawa ulizonishauri.usafi kwangu ni othentic,nanyoa mara kwa mara,pia pants nabadilisha na ku iron daily.thanks little angel.
   
 5. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  asante kingasti.ill make a good use of your advice.
   
 6. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Bwana asikudanganye mtu tumia sabuni ya PROTEX (Medicated soap ganda jekundu/orange) sikumbuki bei na hisi ni 1,000/ nimetumia Hydrocotyson zote pia nunua kufuli za ndani ziwe za pamba, achana na hizi za wamachinga za 500/ ukiwa nyumbani vaa bukta pana ili iingize hewa kukauke kwani huwa kuna joto kali.
  penda kutumia sabuni hiyo hata km ulioga masaa yaliyopita isilibe kama unapakaa mafuta ya mgando kuzunguka kwenye mabarango / vidonda hivyo baada ya kuilowanisha'baada ya wiki tukutani hapahapa tupate jb kwani mm sio Dr na nilishaitoa hiyo thread sikujibiwa ila nilikutana na walionitonya
   
 7. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  yo welcome.pia usisahau kwenda kufanya culture ili wakupe dawa specific.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,299
  Likes Received: 22,084
  Trophy Points: 280
  Umetupiwa jini ukurutu. Nitumie laki kwa m pesa nikutoe jini hilo la subiani
   
 9. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  thanks mkuu,majibu ntayarudisha hapa hapa.kuhusu cotton pants ntalifanyia kazi kiongozi.
   
 10. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  copied malaika mdogo.ntarudi kutoa majibu hapa hapa.
   
 11. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mhh buibuji,you make me scared.haya nipe namba zako.
   
 12. health

  health JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hello Mr! Usijali hiyo ni aina ya fungus tu na hupona kirahisi. waweza kuniandikia kwa email ishealthy@hotmail.com ili niweze kukushauri zaidi cha kufanya
   
Loading...