Mkuu acha dharau, unayajua matokeo yangu tangu sekondari hadi chuo kikuu? Unajua nafanya nini hadi unahitimisha kijinga hivyo? Kwa taarifa yako, naweza kusoma chuo chochote hapa bongo

Yani kweli maisha yanatofautiana sana.wakat wengine tunawaza kwenda kupiga MBA zetu vyuo kama london university au hata cambridge,wengine wanawaza kwenda kusoma mwenge wa uhuru university!anyway vipaumbele vinatofautiana.