MBA-Mwenge University

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,489
Reaction score
6,883
Wakuu, naombeni ushauri nataka nisome MBA ya hiko chuo cha Moshi vipi kuhusu ubora wa hiki chuo, na credibility yake?
 
hivo vyuo vya mchangani me cnaga imani navyo..ebu jaribu pale muccobs ingawa ni walewale tu sema wanazidiana kidogo
 
Huyo anayesema chuo cha mchangani,tunawaona mtaani hata kusimama mbele za watu nakuingea hawawezi.Hizo konteni kichwani sasa
 
Wewe ndio wa mchangani naona hata haupo updated. Muccobs hatunayo tena.

Mwenge ni chuo kizuri sana acha kukariri.
 
Huyo anayesema chuo cha mchangani,tunawaona mtaani hata kusimama mbele za watu nakuingea hawawezi.Hizo konteni kichwani sasa
wewe unaejua kuongea umelisaidiaje taifa?unadhani maendeleo yanaletwa kwa kubwabwaja?
 
hivo vyuo vya mchangani me cnaga imani navyo..ebu jaribu pale muccobs ingawa ni walewale tu sema wanazidiana kidogo
Vyuo vya mchangani ndiyo vipoje na ni vyuo kama vipi.? Ungetutajia sifa zake kidogo ili tuvijue
 
msichukie watu wanaoponda badala yakumsaidia mtoa mada wako stressed alisoma chuo chenye jina akijua atang'ang'aniwa ikawa visevesa lazima tu ubongo ushake.

Mtoa mada Mwenge ni chuo kizuri sana watajitahidi kutoa elimu bora nenda tu
 
Mkuu ulisoma hapo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…