Mb 8

Mb 8

Fanya hiv mb 10 Mara 7 sawa na mb 70

sasa hizo MB70 ulizonunua kwa gharama ya wiki ukizitumia ndani ya siku moja basi hujaokoa chochote. na kama ukigawanya MB70-:-siku7=MB10 hapo ni sawa una MB10 kila siku. Bora kununua kifurushi cha data peke yake
 
Nashukuru sana nipo maeneo ya chuo yani hizo Mb8 hata sizijui na Tigo ukijisajili kama mwanafunzi wa chuo unaweza kujiunga uni promotion eneo lolote..

mkuu unajisajili vipi kama mwanafunzi?
 

Attachments

  • 1435681280092.jpg
    1435681280092.jpg
    50.6 KB · Views: 84
Back
Top Bottom