namtafuta daktari wa wakatoliki slaa. nina maswali magumu ya kumuuliza.
tafadhali baba rudi jf tujadili ile posho kubwa ya milioni 7.5
ninayo maswali mengine kuhusu mchumba wako wa kudumu kuwatumia waheshimiwa sms za mipasho.
maswali mengine yanahusu demokrasia finyu ndani ya chama chako. eti diwani wa arusha hawezi kuamua kitu mpaka lichama kule nyumbani kwa mtei liseme yeah!
yapo mengine mengi pamoja na kutaka kujua utaoa lini tutume michango maana uchumba huku mnazaa ni aibu kwa mkatoliki.
haya libaba usikimbie jf ukiwa rais usije ukakimbia wananchi. mpiga kura wako nimekumiss!
WanaJF,
Naamini hamjambo. Msiwe na wasiwasi, nimejaa tele vijijini. Kazi kawaida ya Chadema mapambano yanaendelea Bungeni, na Slaa anaendelea kujenga Chama. Wiki hii nilikuwa Wilaya ya Kisarawe, na tumefanya mikutano mikubwa Chole, Maneromango na jana tumehitimisha Kisarawe mjini. Kazi yetu kubwa ni kuwaelimisha watanzania, kuwaamsha wajue majukumu yao katika kulinda rasilimali zao, kuwasaidia kwanini tuko kwenye harakati za ukombozi wa mara ya pili, ambao kimsingi ni mgumu kuliko kazi ya kumwondoa mkoloni. Hii ndiyo kazi ya Dr Slaa na Sekretariat yake. Time is money hatuna muda wa kupuuza kujibu maswali yasiyo na tija kwa Mtanzania. Kama ni posho na mishahara ya Dr Slaa hata Kisarawe wametuelewa. Wamejua jinsi TRA ilivyo wazembe wameikimbia Chadema baada ya kuja kwa mbwembwe, na leo washindwa kwa aibu kwa kuwa tumewaonyesha ukwepaji mkubwa ulioko serikalini ni aibu tupu. Kama rafiki yangu anahitaji kufahamu naomba afuatane nasi ziara ijayo vijijini.
Kama yuko mwenye maswali yenye tija kwa Taifa hili, pamoja na shughuli nyinmgi, pamoja na ukosefu wa umeme niko tayari kuyajibu. Lakini yenye tija kwa Mtanzania siyo ya kujifurahisha.
Hivi wewe huwa unasomaga hili jamvi vizuri na thread by thread, topic by topic??maana unarudia vitu vile vile ambavyo vilisha jadiliwa, find something else cha kuongelea kama umeme na kwa nini unalala na giza na sio maswali ya kipuuzi na too personal na yasikuhusu na umbeya.daktari shikamoo.asante kwa kuja kuchangia maswali yangu.muuza mitumba analipa kodi iweje kiongozi mkuu wa chama upate posho milioni 7.5 bila kodi.kulipa kodi ni wajibu wa sisi raia wote. uzembe wa TRA si sababu ya kushindwa kulipa kodi. ukishindwa kulipa kodi unakuwa na kosa. tuambie kwanini ni sawa kwa wewe kuwa na pato la milioni 7.5 na kushindwa kulipa kodi.
Maoni yangu waislam tuache kudanganywa na wajinga wachache kama BAKWATA ambao ni adui namba moja wa waislam tangia enzi za uhuru,BAKWATA ipo kwaajiri ya kulinda maslahi ya serikali ya CCM Badala ya waislam ambao tuna matatizo mengi.1) dK Slaaa. baadhi ya waislam wanalalamika eti Cdm ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya dini ya kikiristo . jee nini maoni yako hasa ukiwa ndio mtendaji wa chama hicho?(Linafaida kwa taifa sana tu)
Acheni maswali ya kijinga haya,hivi unavyoona CHADEMA inaongozwa kidini au wakitaka kufanya kitu lazima waingize dini??au CCM yenu pia inaongozwa kidini??acheni mambo ya udini na tuangalie why tunalala na giza bila sababu za msingi na sio kutoa upupu usiokuwa na mpango.......1) dK Slaaa. baadhi ya waislam wanalalamika eti Cdm ni chama kinachoongozwa kwa misingi ya dini ya kikiristo . jee nini maoni yako hasa ukiwa ndio mtendaji wa chama hicho?(Linafaida kwa taifa sana tu)
WanaJF,
Kama yuko mwenye maswali yenye tija kwa Taifa hili, pamoja na shughuli nyinmgi, pamoja na ukosefu wa umeme niko tayari kuyajibu. Lakini yenye tija kwa Mtanzania siyo ya kujifurahisha.
nadhan utakuwa na upungufu wa mawazo kama sio akili, posho ya sh milion 7 bila kulipa kodi ni uzembe wa serikali yako kutoweka na kutokuwa tayar kuweka mikakat ya kudhibit mambo kama haya. Kama serikali inataka kata kodi katika hela hii n lazma strategies za kukusanya mapato wazbadilishe. Hiyo n changamoto kwa serkal ya ******. If you cant beat me then join me. Hamwez pambana na cdm, bas unganen nasi.daktari shikamoo.asante kwa kuja kuchangia maswali yangu.muuza mitumba analipa kodi iweje kiongozi mkuu wa chama upate posho milioni 7.5 bila kodi.kulipa kodi ni wajibu wa sisi raia wote. uzembe wa TRA si sababu ya kushindwa kulipa kodi. ukishindwa kulipa kodi unakuwa na kosa. tuambie kwanini ni sawa kwa wewe kuwa na pato la milioni 7.5 na kushindwa kulipa kodi.
Mkuu ndio ambacho nashangaa,ni upuuzi tu na hamna jipya,wanaona kabisa magamba wanafanya ujinga eti kwa vile ni waislam basi lazima kuwatetea....ni upuuzi uliokithiri kabisa na kukosa kazi ya kufanya,tuangalie chama chenye maslah kwa taifa na chenye kuweza kufanya mabadiliko.....toka lini CCM ikawa marafiki wa waislam??shtuka.Acheni kuwa na akili mgando watu wa MAGAMBA ambao leo mnajifanya rafiki wa sisi waislam mnatumia udhaifu wa viongozi wetu wa dini ambao hawajasoma,zaidi ya elimu ya madrasa kwa kuwapa elfu ishirini ili waendelee kuwanyonya watanzania,tangia lini CCM imekuwa marafiki wa waislam?
we dogo sikiliza usione watu wanakukaushia tu hapa sio kwamba hatukuoni ...nnyie mumeuliza dokta yuko wapi na amekuja hapa kujibu hoja zenu sasa inabidi muulize maswali ya msingi yenye tija kwenye jamii kuna vitu vingine sio nvya kuuliza wewe ushawahi hata kupiga stori na kikwete au Nape??? huwezi hata siku moja sasa umepata fursa ya kujibiwa hoja zako na viongozi wa wakubwa kama hawa moja kwa moja inabidi uweke jazba zako na maswali ya kipuuzi pembeni ..SHKAMOO DK SLAA. KATIBU MKUU NA ALIEKUWA MGOMBEA URAIS WA CDM.
Swali no 2.
I)Ubunge ulianza lini. jee kwanini wakati wa mkapa wakatu ulikuwa mbunge ulikuwa kimya sana tofauti na sasa. jee hakuna harufu ya udini hapa?
Wasalaam Dr Slaa, na nakushukuru sana kuwepo kwako hapa jamvini.
Natambua kuwa CHADEMA hawajakamata dola na hivyo wana-limitation katika kutatua matatizo ya watanzania wengi maskini. Hata hivyo tumeshughudia mchango mkubwa wa CHADEMA katika kutatua tatizo la sukari (yaani kushusha bei) na kubwa zaidi, kuilazamisha serikali ya ccm kuanza mchakato wa katiba mpya.
Sasa hivi tuna tatizo sugu la umeme na kila kukicha inaonekana kama mambo yanazidi kuwa mabaya zaidi kuliko hata jana yake! Kama taifa tunaanza kupoteza imani na walio madarakani juu ya uwezo, na nia ya kutatua tatizo hili. Ningeomba kujua CHADEMA wana-mpango kuishinikiza serikali hii ya ccm @kutambua kuwa umeme kwa sasa hivi ni janga la kitaifa? (b)kuweka msimamizi mwenye uelewa mpana na uwezo/uthubutu katika wizara ya nishati na madini, na (c)kuunganisha nguvu ya watanzania katika kudai marekebisho ya haraka kwenye hili tatizo la umeme?
Nasema haya kwa sababu binafsi siamini kama Mh Ngeleja ana uwezo wa kutatua 'complexities' kwenye sekta ya nishati ya umeme. Na pia siamini hata kidogo kuwa tatizo ni bwala la Mtera 'kukataa' kujaa maji. Taarifa nilizonazo ni kuwa kuna wakulima wa mpunga wanashirikiana na bwawa la Mtera, je ushirikiano wao unaathiri (kwa kiasi chochote hata kama ni 1%) ujao wa maji wa bwawa la Mtera? na pia nijuavyo mimi, initial agreement ya IPTL ilikuwa kuleta mitambo ambayo ingeweza kutumia both oil na gas (baada ya technicak adjustment) lakini mitambo iliyoletwa nchini ni ya kutumia oil peke!
Then Symbion, sasa hivi wanazalisha chini ya capacity kwa sababu hawapati gas ya kutosha toka Songosongo, na kuna mchezo wa kuku na yai unaendelea maana Songosong wanawaambia Symbion kuwa wakitaka gas waongee na Tanesco na Tanesco wanawaambia Symbion wakitaka gas waende Songosongo!
Najua una sources nyingi na unaweza ku-double check haya matatizi niliyoandika lakini nadhani ingesaidia sana kama wananchi wote wangejua maana haiingii akilini kwa nini Mtera haijai!
Shukrani
SHKAMOO DK SLAA. KATIBU MKUU NA ALIEKUWA MGOMBEA URAIS WA CDM.
Swali no 2.
I)Ubunge ulianza lini. jee kwanini wakati wa mkapa wakatu ulikuwa mbunge ulikuwa kimya sana tofauti na sasa. jee hakuna harufu ya udini hapa?