Umeyajuaje ya wanawake??
Ko mkikaa huwa mnatuongelea enheee
Kila mmoja hufagilia kundi lake haijarishi m.ke au m.me wote waongo.......tena zaidi yao wanawake kiboko.utaski flan kahongwa na flan simu yenyewe mchina mbayambaya hivi.
yawezekan wanawake wamezid
Tena wamevumika mipaka isiyo na mwisho ....ni watu dhaifu ishi nao kwa akili........usutoe siri nzito kwake kesho yake utazkuta mtaa wa pili......
Na hicho mlichonacho tutaacha kuwaongelea kweli...????Ko mkikaa huwa mnatuongelea enheee
Hapa ni kuchangia tu... hazigusi mtima wala niniHivi hizi mada nyingine, wenzangu huwa mnachangia kimazoea tu au zinagusa mitima yenu na kushawishi fahamu zenu kuweka chochote kitu hapa???