Aliyeyasema hayo is no moreWewe kama Mimi suluhushu la migogoro yote ya ZNZ ilikuwa katiba ya Warioba. Wao wakaipuuza wakidai serikali ya Mapinduzi haitolewi kwa makaratasi ya kura! Leo hii dhambi hiyo inawatafuna
Hapajawahi kuwepo mapinduzi makubwa kama ya urusi lakini yalikwisha sasa wanatumia makaratasi.
Madaraka ni kitu cha
ajabu sana. Ukimwangalia
Dr She in sura yake
unapata picha kuwa no
MTU mcha
Mungu,mwadilifu,mwenye
huruma ambaye hata
kuchinja kuku wa kitoweo
inaweza kuwa mtihani
kwake.
Ijumaa ukimuona
alivyokunja miguu
msikitini mbele za Mola
wake utauona ukaribu
wake na Mola wake na
kuwa pengine njia ya
kwenda peponi ni nyeupe
kwake.
Lakinimadaraka
yanamgeuza mtu huyu
hata hawezi kufikiri tena
juu ya hatari ya hiki
wakifanyacho na hatima
ya maisha ya watu, wake
kwa waume na watoto.
Hebu akienda leo msikitini
amwombe mola wake yeye
ndiye amuongoze nini
afanye tofauti na
anavyoambiwa na chama
chake. Hukumu yake
haitaihusisha NEC au CCM
siku ile ikifika/
Thank you SirI Salute you Che!
Mkuu napata shida yaani Raia wapite mtaani na SMG ?? Tokea lini wakaruhisiwa kumiliki SMG ?? Na kama ni wanajeshi kulikua na sababu gani ya wao kutembea na SMG mtaani ?? Kwani kazi ya JWTZ ni ipi ?? Polisi wameshindwa kulinda mali na usalama wa raia ?? Hili la kuwaingiza JWTZ mtaani sio sawaMkuu hata majambazi na majangili wana SMG. Inaelekea hizi SMG zinapatikana kama pipi huko zenji!
Zombie no go go unless u tell am to goMleta mada umenikumbusha wimbo wa ZOMBIE wa fela kuti. Alikuwa anawaimba askari wanaotumwa kutesa raia na wanatekeleza bila kufikiria wanafanya nini. Kama misukule.
Mbona naona molango imefungwa.tayali.nkurunzenza kaanzaKuna kikosi zanzibar kinajulikana kama mazombi wameanza kupiga na kutesa wananchi na kuwatisha wananchi.
Jeshi la police lipo kimya, matukio haya yamekuwa yakilalamikiwa na wananchi na polisi kukanusha kutokuwa na taarifa.
Vikosi hivi vinaongozwa na Waziri mmoja wa SMZ ambaye ndio mwenye jukumu la vikosi hivi ya kiharamia.
Kwa wapenda amani lazima tulaani na tunamuomba Rais wa Jamhuri ya muungano John Magufuli aliingilie mara moja kwani yeye ndio mwenye jukumu kama Amiri Jeshi Mkuu.View attachment 320042View attachment 320043View attachment 320044View attachment 320045
Madaraka ni kitu cha
ajabu sana. Ukimwangalia
Dr She in sura yake
unapata picha kuwa no
MTU mcha
Mungu,mwadilifu,mwenye
huruma ambaye hata
kuchinja kuku wa kitoweo
inaweza kuwa mtihani
kwake.
Ijumaa ukimuona
alivyokunja miguu
msikitini mbele za Mola
wake utauona ukaribu
wake na Mola wake na
kuwa pengine njia ya
kwenda peponi ni nyeupe
kwake.
Lakinimadaraka
yanamgeuza mtu huyu
hata hawezi kufikiri tena
juu ya hatari ya hiki
wakifanyacho na hatima
ya maisha ya watu, wake
kwa waume na watoto.
Hebu akienda leo msikitini
amwombe mola wake yeye
ndiye amuongoze nini
afanye tofauti na
anavyoambiwa na chama
chake. Hukumu yake
haitaihusisha NEC au CCM
siku ile ikifika/